Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jun 6, 2022 Thread starter #21 Kambi ya Fisi said: Huyo wifi Dr ni kivuruge tu Click to expand... Wewe umkute mdogo wako wa miaka 28 analea mama wa 45 utaona kawaida?
Kambi ya Fisi said: Huyo wifi Dr ni kivuruge tu Click to expand... Wewe umkute mdogo wako wa miaka 28 analea mama wa 45 utaona kawaida?
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,858 Reaction score 22,729 Jun 6, 2022 #22 Sky Eclat said: Wewe umkute mdogo wako wa miaka 28 analea mama wa 45 utaona kawaida? Click to expand... Nitaona poa tu na nitawabariki wasonge mbele. Umri ni namba tu
Sky Eclat said: Wewe umkute mdogo wako wa miaka 28 analea mama wa 45 utaona kawaida? Click to expand... Nitaona poa tu na nitawabariki wasonge mbele. Umri ni namba tu
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 6, 2022 #23 ndefu kweli haimaliziki au ni mwanahalisi makala hii
Mervin JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 1,914 Reaction score 2,630 Jun 7, 2022 #24 Leo ndo nimeamini thread zako ni za uongo uongo.Japo Kuna funzo ndani yake. #Story za shigogo