Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Fuatilia kuanzia ubunge... Hakuna uchaguzi JPM aliwahi kutangazwa mshindi bila wizi (uchakachuaji).Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Mkuu ukiacha ubishi utumie akili yako utaelewa kuwa ccm na mifumo yao ni wachakachuaji.Nimeuliza swali moja!
Ilikuwaje Chadema wadai kukamata begi la kura feki na muda mfupi baadae,hao hao wanachoma kidhibiti moto.
Halafu ndio muendelee kujifariji huko vijiweni.
Na ndio maana huyo mbwa ni mzoga kwasasa alikuwa muovu na amekufa kwa uovu.Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Mpaka leo hujapata ushaidi aise. We utakuwa miongoni mwa walisaidiwa. Aliwaaambia wakurugenzi kwamba "nikupe gari, nikuwekee mafuta halafu utangaze mpinzani!!!. Huu ni ushahidi mdogo tu bado mengine mengi sanaNi wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Hii kauli ndio ushahidi? Hii Elimu yetu inashida mahali sio bure.Mpaka leo hujapata ushaidi aise. We utakuwa miongoni mwa walisaidiwa. Aliwaaambia wakurugenzi kwamba "nikupe gari, nikuwekee mafuta halafu utangaze mpinzani!!!. Huu ni ushahidi mdogo tu bado mengine mengi sana
Hivi kwa serikari zetu hizi za kuteuwana, unategemea nani angeweza kumshitaki huyo aliyekuwa dicteta?fikiri wenzake walimchoka ndiyo maana wakamsinirchUlivyoyaona ndo kitoto, we kama mtu mzima umemuona mwizi anakuibia, unachukua hatua gani? Napima ukomavu wako wa kupambana na wezi wa hadharani uliowaona wakikupora.
Mi nipo na maza akoWe ni Mke wake Hayati Mwamba Dr JPM [emoji848][emoji19]
Ww bwana ebu ficha upumbavu wako basi.sio kila mtu ajue kama ww ni mjinga .kwan ww hukuona uchaguzi ulivyokuwa wa hila yan haijawai tokea uchaguzi wa kipuuzi na wa hovyo tangia mungu kaumba dunia kuliko wa awamu iliyopita .Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Alomsnich Maalim Seif ni nani? Mbona nae alikufa? Kila roho itaonja mauti na huyu mama yako / m/kiti wa muda wote ataonja tu siku na muda wowote.Hivi kwa serikari zetu hizi za kuteuwana, unategemea nani angeweza kumshitaki huyo aliyekuwa dicteta?fikiri wenzake walimchoka ndiyo maana wakamsinirch
Circumstancial evidence hata mahakamani inatumikaHii kauli ndio ushahidi? Hii Elimu yetu inashida mahali sio bure.
Kwanza kivyovyote hata akija malaika kugombea hapo ccm bado ccm haitojiondoa kwnye kutuhumiwa kuiba kura/kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi ishakuwa ni kawaida kila ukimalizika uchaguzi mkuu lazima ziwepo tuhuma za ccm kuiba kura ndio miaka yote ipo hivyo, kwahiyo ccm ndio ipo hivyo.Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Hawa ndio wanadai waliibiwa kura πππ€£π€£Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Kwani nilini upinzani uliwahi kukiri kuwa uchaguzi umefanyika pasipo mizengwe tokea enzi za mkapa?kila siku wapinzani uchaguzi udai wameibiwa,taja niuchaguzi hupi wapinzani waliwai kukili kushindwa kiaharali?hili la kuibiwa kura halijaanza kwa Magufuri acha ujinga toka enzi za mkapa wimbo ni huu wa kuibiwa kura,pili hili la kununua wapinzani ni mbinu ya mchezo hata Chadema waliwachua Lowassa na Nyarandu na Sumae ili waweze kushindana na Ccm,sema Chadema walizidiwa kete.Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Katiba ipi inaruhusu kupinga matokeo ya Urais uchaguzi mkuu mahakamani?Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi
Hawa ndio wanadai waliibiwa kura πππ€£π€£
2005 mbona kina Mbowe wali concede defeat ngazi ya Urais?? Au ulikua hujazaliwa? Tokea hapo hakuna mwana CCM aliyeshinda kihalali bila rafu na huo ukweli hata wewe unaujua. Kama Mzee Karume aliyekua Rais amekiri Hilo wewe ni nani ujifanye unajua kuliko Rais wa Zanzibar?Kwani nilini upinzani uliwahi kukiri kuwa uchaguzi umefanyika pasipo mizengwe tokea enzi za mkapa?kila siku wapinzani uchaguzi udai wameibiwa,taja niuchaguzi hupi wapinzani waliwai kukili kushindwa kiaharali?hili la kuibiwa kura halijaanza kwa Magufuri acha ujinga toka enzi za mkapa wimbo ni huu wa kuibiwa kura,pili hili la kununua wapinzani ni mbinu ya mchezo hata Chadema waliwachua Lowassa na Nyarandu na Sumae ili waweze kushindana na Ccm,sema Chadema walizidiwa kete.
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Wewe naona ni mtoto wa juzi,tokea enzi za akina Mrema wakilalamika kuibiwa kura na Ccm,2005 mbowe aliunga juudi kwababu Chadema ilikuwa haina nguvu ilikuwa na mbunge mmoja, lakini Lipumba alilamika CUF wakilalamika kuibiwa kura hasa Zanzibar ndio maana Lipumba hakutokea wakati wa kuapisha rais, akuna uchaguzi uliwahi pita bila kelele za upinzani kuibiwa kura fatilia vizuri.2005 mbona kina Mbowe wali concede defeat ngazi ya Urais?? Au ulikua hujazaliwa? Tokea hapo hakuna mwana CCM aliyeshinda kihalali bila rafu na huo ukweli hata wewe unaujua. Kama Mzee Karume aliyekua Rais amekiri Hilo wewe ni nani ujifanye unajua kuliko Rais wa Zanzibar?