Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Fuatilia kuanzia ubunge... Hakuna uchaguzi JPM aliwahi kutangazwa mshindi bila wizi (uchakachuaji).
 
Nimeuliza swali moja!

Ilikuwaje Chadema wadai kukamata begi la kura feki na muda mfupi baadae,hao hao wanachoma kidhibiti moto.

Halafu ndio muendelee kujifariji huko vijiweni.
Mkuu ukiacha ubishi utumie akili yako utaelewa kuwa ccm na mifumo yao ni wachakachuaji.
Sasa hivyo vidhibiti ulitaka tena wakabidhiwe wezi?
 
Na
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Na ndio maana huyo mbwa ni mzoga kwasasa alikuwa muovu na amekufa kwa uovu.
 
Mpaka leo hujapata ushaidi aise. We utakuwa miongoni mwa walisaidiwa. Aliwaaambia wakurugenzi kwamba "nikupe gari, nikuwekee mafuta halafu utangaze mpinzani!!!. Huu ni ushahidi mdogo tu bado mengine mengi sana
 
Kelele tu kua jamaa aliiba kura, bt sad enough ni mwaka now since atangulie ila hakuna kesi mahakamani za kupiga matokeo.
Km ushahidi upo wa wizi wa kura ni kipi kinawazuia kufungua kesi mahakamani mkapata hali yenu?
If you cant prove on court without a reasonable doubt why daily mnalialia pembeni?
Km wameweza kufungua kesi ya kuzuia kuvuliwa ubunge ni kipi kimewashinda kufungua kesi ya kupinga matokeo?
Man up and Move on.
 
Mpaka leo hujapata ushaidi aise. We utakuwa miongoni mwa walisaidiwa. Aliwaaambia wakurugenzi kwamba "nikupe gari, nikuwekee mafuta halafu utangaze mpinzani!!!. Huu ni ushahidi mdogo tu bado mengine mengi sana
Hii kauli ndio ushahidi? Hii Elimu yetu inashida mahali sio bure.
 
Ulivyoyaona ndo kitoto, we kama mtu mzima umemuona mwizi anakuibia, unachukua hatua gani? Napima ukomavu wako wa kupambana na wezi wa hadharani uliowaona wakikupora.
Hivi kwa serikari zetu hizi za kuteuwana, unategemea nani angeweza kumshitaki huyo aliyekuwa dicteta?fikiri wenzake walimchoka ndiyo maana wakamsinirch
 
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Ww bwana ebu ficha upumbavu wako basi.sio kila mtu ajue kama ww ni mjinga .kwan ww hukuona uchaguzi ulivyokuwa wa hila yan haijawai tokea uchaguzi wa kipuuzi na wa hovyo tangia mungu kaumba dunia kuliko wa awamu iliyopita .

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa serikari zetu hizi za kuteuwana, unategemea nani angeweza kumshitaki huyo aliyekuwa dicteta?fikiri wenzake walimchoka ndiyo maana wakamsinirch
Alomsnich Maalim Seif ni nani? Mbona nae alikufa? Kila roho itaonja mauti na huyu mama yako / m/kiti wa muda wote ataonja tu siku na muda wowote.
 
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Kwanza kivyovyote hata akija malaika kugombea hapo ccm bado ccm haitojiondoa kwnye kutuhumiwa kuiba kura/kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi ishakuwa ni kawaida kila ukimalizika uchaguzi mkuu lazima ziwepo tuhuma za ccm kuiba kura ndio miaka yote ipo hivyo, kwahiyo ccm ndio ipo hivyo.

Ila upande wa pili kwa upinzani kama wanakubalika na tatizo ni wizi tu wa kura sasa kulikuwa na haja gani ya kumleta Lowassa mara kuachiana majimbo na vitu kama hivyo ikiwa upinzani ndio hukubalika kwa wananchi ile nguvu yote ilikuwa ya nini kuzidi idadi ya kura au kuzuia wizi wa kura?
 
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Hawa ndio wanadai waliibiwa kura 😂😂🤣🤣
 
Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    60 KB · Views: 8
  • IMG-20220407-WA0040.jpg
    IMG-20220407-WA0040.jpg
    52.5 KB · Views: 7
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Kwani nilini upinzani uliwahi kukiri kuwa uchaguzi umefanyika pasipo mizengwe tokea enzi za mkapa?kila siku wapinzani uchaguzi udai wameibiwa,taja niuchaguzi hupi wapinzani waliwai kukili kushindwa kiaharali?hili la kuibiwa kura halijaanza kwa Magufuri acha ujinga toka enzi za mkapa wimbo ni huu wa kuibiwa kura,pili hili la kununua wapinzani ni mbinu ya mchezo hata Chadema waliwachua Lowassa na Nyarandu na Sumae ili waweze kushindana na Ccm,sema Chadema walizidiwa kete.
 
2005 mbona kina Mbowe wali concede defeat ngazi ya Urais?? Au ulikua hujazaliwa? Tokea hapo hakuna mwana CCM aliyeshinda kihalali bila rafu na huo ukweli hata wewe unaujua. Kama Mzee Karume aliyekua Rais amekiri Hilo wewe ni nani ujifanye unajua kuliko Rais wa Zanzibar?
 
Alikuwa ni panya road katika siasa... Jambazi kama hawa walioko jela basi mfumo wetu unaruhusu panya road kuingia Ikulu.
Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
 
Politics haihitaji watu rough kama magufuri
Inahitaji watu Fine tuned wanaoweza kushaulika kama Rais samia au kikwete.

Ukitesa matajiri usidhani utawafurahisha masikini zaidi unawabrainwash tu na kuwafanya kuwa fukara zaidi.

Magufuri nchi ilikua imemshinda Lakini Rais Samia ameiweza.

Samia hana Kukurupuka kama mtangulizi wake.
 
2005 mbona kina Mbowe wali concede defeat ngazi ya Urais?? Au ulikua hujazaliwa? Tokea hapo hakuna mwana CCM aliyeshinda kihalali bila rafu na huo ukweli hata wewe unaujua. Kama Mzee Karume aliyekua Rais amekiri Hilo wewe ni nani ujifanye unajua kuliko Rais wa Zanzibar?
Wewe naona ni mtoto wa juzi,tokea enzi za akina Mrema wakilalamika kuibiwa kura na Ccm,2005 mbowe aliunga juudi kwababu Chadema ilikuwa haina nguvu ilikuwa na mbunge mmoja, lakini Lipumba alilamika CUF wakilalamika kuibiwa kura hasa Zanzibar ndio maana Lipumba hakutokea wakati wa kuapisha rais, akuna uchaguzi uliwahi pita bila kelele za upinzani kuibiwa kura fatilia vizuri.
 
Back
Top Bottom