Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Katika maamuzi yote aliyofanya "kuua upinzani" ndio uamuzi mbovu uliomwondolea sifa ya kuendelea kuwa rais wa Tanzania, na aliondolewa
Sasa mbona huo upinzani haujafa,Kafa yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika maamuzi yote aliyofanya "kuua upinzani" ndio uamuzi mbovu uliomwondolea sifa ya kuendelea kuwa rais wa Tanzania, na aliondolewa
Labda ndotoniWatetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Unasema upinzani haujafa?Sasa mbona huo upinzani haujafa,Kafa yeye.
Wewe ndio unaona aliiba kwa sababu you are foolish. Baada ya uchaguzi hamujaona mahakama mkapinge japo jimbo moja tu. Kuanzia mwenyekiti wa chadema wote mkajidai mumeibiwa kura majimbo yote kitu hakiwezekani. Mumepandikizana imani eti mlishinda uchaguzi kura zikaibiwa😂. Shame on you. Hivi lissu angeweza kumshinda magufuli?Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Wewe, naona unajua kitu!Hujui kitu!! Samia alikwishataka kubwaga manyanga kazi ya uVP mara mbili, akarudhishwa na wazee wa CCM
Mahakama zipi tungekwenda wewe kmbwembwe Malaya wa Chato ? Mhakama zote zilikuwa zinapokea maelekezo ya DIKTETAWewe ndio unaona aliiba kwa sababu you are foolish. Baada ya uchaguzi hamujaona mahakama mkapinge japo jimbo moja tu. Kuanzia mwenyekiti wa chadema wote mkajidai mumeibiwa kura majimbo yote kitu hakiwezekani. Mumepandikizana imani eti mlishinda uchaguzi kura zikaibiwa😂. Shame on you. Hivi lissu angeweza kumshinda magufuli?
Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake bro, naheshimu pia mawazo yako kama ambavyo n wewe unapaswa kuheshimu ya kwangu. Kupishana mitazamo wala sio tatizoWewe vipi ? Unamsifia hata kwa maamuzi ya korosho kwa kuwa ni maamuzi? Unamkumbuka hata kwa maamuzi ya kutopandisha mishahara wafanyakazi kwa vile ni maamuzi? Be serious Idimi
Wewe ndio unaona aliiba kwa sababu you are foolish. Baada ya uchaguzi hamujaona mahakama mkapinge japo jimbo moja tu. Kuanzia mwenyekiti wa chadema wote mkajidai mumeibiwa kura majimbo yote kitu hakiwezekani. Mumepandikizana imani eti mlishinda uchaguzi kura zikaibiwa😂. Shame on you. Hivi lissu angeweza kumshinda magufuli?
Kwanini aachwe wakati wenzake akina Hitler na Idd Amin bado wanaongelewa, kuongelewa huko iwe kwa uzuri au kwa ubaya ndiyo legacy yake hiyo.Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Wewe sema tu ukweli kwamba Wewe ni mshabiki wa vyama vya upinzani ndio maana umeweka mtazamo wa namba hiyo lakini sisi ambao hatuna vyama tulimkubali kwasababu ya uchapakazi wake na uzalendo alionao kwa nchiKatika maamuzi yote aliyofanya "kuua upinzani" ndio uamuzi mbovu uliomwondolea sifa ya kuendelea kuwa rais wa Tanzania, na aliondolewa
Kuna watu na viatu. Kwamba Uchaguzi wa 2020 ccm haikuiba?Wewe ndio unaona aliiba kwa sababu you are foolish. Baada ya uchaguzi hamujaona mahakama mkapinge japo jimbo moja tu. Kuanzia mwenyekiti wa chadema wote mkajidai mumeibiwa kura majimbo yote kitu hakiwezekani. Mumepandikizana imani eti mlishinda uchaguzi kura zikaibiwa😂. Shame on you. Hivi lissu angeweza kumshinda magufuli?
Umemheshumu sana kumjibu. Ulipaswa kumpuuza tu.-Kuibiwa kura majimbo yote inawezekana kabisa, ww Jiulize Kwa nini wabunge wa Upinzani walienguliwa kwenye majimbo yote?, Jiulize Kwa nini wagombea wa Upinzani walikuwa wanaporwa Fomu za Kugombea?
- Inaonekana hujui hata Sheria za Uchaguzi,
- kipindi kile cha Uchaguzi Mkuu wa 2020 Kuna kanuni ilikuwa inatoa hiyari msimamizi wa uchaguzi kutoa Fomu ya matokeo ya uchaguzi, hiyo Fomu ni muhimu Sana kwenye Kuchallenge matokeo ya uchaguzi, na Kwa hakika Wasimamizi wa Uchaguzi hawakuwapa Fomu.
- Mkurugenzi wa Uchaguzi Wa NEC, alipiga kampeni akisema watanzania hawahitaji "Bra bra" au umesahau?
- Lissu alizuiwa asifanye Kampeni mikoa ya kusini au umesahau?
- na Kingine Mfumo wa Mahakama wote ulikuwa na hofu
Kuhusu kukubalika nakataa!Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Kiongozi yeyote asiyependa upinzani huwa hajiamini, ila anayejiamini huwa hana hofu na upinzani.Wewe sema tu ukweli kwamba Wewe ni mshabiki wa vyama vya upinzani ndio maana umeweka mtazamo wa namba hiyo lakini sisi ambao hatuna vyama tulimkubali kwasababu ya uchapakazi wake na uzalendo alionao kwa nchi
Tena aliiba kura kiroho akasahau kwamba upinzani unatakiwa bungeni. Alipostuka kwamba wapinzani wako wachache mno ,Ndipo akala njama za kuingiza C-19 bungeni. Tena wengine wakitolewa gerezani usiku kwenda kuapishwa bungeni! Acha Mungu aitwe Mungu tu. Alitufanyia kitu kizuri sana March 17, 2021!Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Hao unaowahita wapinzani hawakuonesha ni watu wanaoweka maslahi ya Taifa mbele kwenye kipindi chake Cha uongozi walikuwa wanapinga hadi mambo mazuri yaliyokuwa yanafanyika watakuwaje wanakuwa wa maana? Wanawatetea mafisadi kama Manji,hanspope Serikali inapochukua hatua za kifisadi dhidi yao.Wanapinga miradi iliyoanzishwa bila hata hoja za msingi ilimradi tu waonekane wanapinga, wanapinga hatua zilizokuwa zinachukuliwa na Serikali kuhusu mali zetu za asili ikiwemo madini kwa lengo la kulinda our resources utawaitaje hao jamaa wanafaida? Kitu ambacho nadhani umesahau wapinzani ndio walioanzisha vita na Magu walianza na kampeni ya kusema hawamtambui kuwa ni raisi na awakuishia hapo walimzomea kipindi Cha ufunguzi wa bunge na wakawa wanatoa lugha chafu dhidi yake ilipofika hatua ndio Magu akaanza kuwachukia na akapiga marufuku siasa za majukwaani kwasababu aliona wanatumia vibaya uhuru waoKiongozi yeyote asiyependa upinzani huwa hajiamini, ila anayejiamini huwa hana hofu na upinzani.
Huyo mliye mkubali kwa uchapakazi wa kimihemko alichemsha sana kuua upinzani.
Mungu mwenyewe anaupinzani ndo ije kwa JPM aongoze nchi bila upinzani? Hakuna kitu kama hicho duniani na ndio maana aliondolewa kabla ya muda wake kwisha