Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Lloyd...Mzee wangu nilikuuliza kuhusu Chama Cha mapinduzi kuifanyia mapinduzi historia hiyo lakini ulikaa kimya.
Huenda limenipita hilo swali.
Niulize tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lloyd...Mzee wangu nilikuuliza kuhusu Chama Cha mapinduzi kuifanyia mapinduzi historia hiyo lakini ulikaa kimya.
Mc...Mzee wangu , hukunijibu .nilikuuliza je, kitabu cha kwaheri ukoloni, kwa heri uhuru kimekuwa banned hapa tz?
Jiwe...Historia yako imejaa propaganda nyingi za kiisalam.
Colonel...Mzee wangu, heshima mbele.
Hoja kuu ya watu ni kwamba baadhi ya chambuzi zako ziko upande mmoja (biased) hasa mrengo wa dini yako.
Sote ni mashahidi historia imepindishwa kweli sio tu Tanganyika bali hata Zanzibar , mfano mwepesi mimi siamini na hadi kesho sitokuja kuamini Karume ni mwanamapinduzi sababu waliokuwepo siku hiyo wanamtaja mwanamapinduzi halisi ilhali Karume alikuwa amejifungia chumbani tu.
Je tunafanyaje huyu mwanamapinduzi halisi apewe heshima yake hata kama alikuwa ni mgeni na wa dini ya tofauti na ile jamii aliyofanya mapinduzi.
Nawasilisha.

Ndiyo naitaka hiyo historia ya kabla ya mwarabu na mzungu kujaTanganyika haikuwepo kabla ya kuja mzungu.
Kitabu Cha Abdul Sykes kilitoka 1998, Nyerere alifariki 1999,vipi,alipata kukisoma kitabu chako?..Kama alisema,taarifa ulizipataje kuwa kasoma!?.. reaction yake ilikuaje kwa mujibu wa duru za Siri?Chawa...
Ikiwa tutaacha kuieleza historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika tutakuwa tumefanya kosa kubwa sana.
Lazima historia hii isomeshwe kwa watu kila nafasi ikipatikana.
Nimeelewa japo nina maswali kadhaa bado.Colonel...
Historia ya Karume kama kiongozi inafahamika kwa wote.
Yeye aliwakilisha Zanzibar Lancaster House.
Karume ndiye aliyeshirikiana na Nyerere katika kuunda ASP na kuweka mipango yote ya mapinduzi endapo hawatafanikiwa kushika dola kupitia sanduku la kura.
Naamini umenielewa.
Colonel...Nimeelewa japo nina maswali kadhaa bado.
Una maana gani uliposema Karume alishirikiana na Nyerere kuunda mkakati wa mapinduzi ya Zanzibar hii ni ( kijeshi au kifedha,)kama ni kijeshi je jeshi la ndani uhusika wake ni upi(frontliners wa mapinduzi) kama ni fedha (fedha za kufadhili mapinduzi zilitoka upande gani TNG/ZN?
Je nani alitoa pendekezo la kumfuata John Okello Uganda ?
Je kwanini siku ya mapinduzi Karume alijifungia ndani , na kama mapinduzi yangefeli kulikuwapo na nafasi mbadala(back up) na je hii back up ilikuwa chini ya nani ?
Je sio Tanganyika wala Zanzibar hakukuwepo na wataalam kimedani kufanikisha mapinduzo sababu yaliwahusu watu wa karibu zaidi kuliko kwenda hadi Uganda?
Je ukweli ni upi hasa baada ya mapinduzi kutimuliwa kwa John Okello visiwani Zanzibar.?
Kwanini nguvu kubwa ilitumika kufifisha wanamapinduzi halisi wakiwemo John Okello na wenzie ,huku ikimpa Karume nafasi kubwa(ujiko) kuliko wahusika?
Nawasilisha .
In...Kitabu Cha Abdul Sykes kilitoka 1998, Nyerere alifariki 1999,vipi,alipata kukisoma kitabu chako?..Kama alisema,taarifa ulizipataje kuwa kasoma!?.. reaction yake ilikuaje kwa mujibu wa duru za Siri?
Lello...Taatizo lako ni UDINI
Msome Mwafrika Mwenzio anitwa Ibn Batuta alitembelea huku zamani sana.Ndiyo naitaka hiyo historia ya kabla ya mwarabu na mzungu kuja
Ova
Watu hao wanaosema hivyo wewe umewaona wapi?Chawa...
Ikiwa tutaacha kuieleza historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika tutakuwa tumefanya kosa kubwa sana.
Lazima historia hii isomeshwe kwa watu kila nafasi ikipatikana.
Mwaka gani?Msome Mwafrika Mwenzzio anitwa Ibn Batuta alitembelea huku zamani sana.
Tafuta kwenye mtandao ibn Batuta.Mwaka gani?
Yepi hayo? Tuwekee ushahidi.Mzee wangu, heshima mbele.
Hoja kuu ya watu ni kwamba baadhi ya chambuzi zako ziko upande mmoja (biased) hasa mrengo wa dini yako.
Sote ni mashahidi historia imepindishwa kweli sio tu Tanganyika bali hata Zanzibar , mfano mwepesi mimi siamini na hadi kesho sitokuja kuamini Karume ni mwanamapinduzi sababu waliokuwepo siku hiyo wanamtaja mwanamapinduzi halisi ilhali Karume alikuwa amejifungia chumbani tu.
Je tunafanyaje huyu mwanamapinduzi halisi apewe heshima yake hata kama alikuwa ni mgeni na wa dini ya tofauti na ile jamii aliyofanya mapinduzi.
Nawasilisha.
Mimi nataka uniambie weweTafuta kwenye mtandao ibn Batuta.
OkelloMzee wangu, heshima mbele.