Wanasema wanajeshl wapo na sisi cha ajabu eti wanasema tuanze sisi kuandamana tarehe 29 hapa hamna kitu

Wanasema wanajeshl wapo na sisi cha ajabu eti wanasema tuanze sisi kuandamana tarehe 29 hapa hamna kitu

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Yaani wao wanasilaha wanatuambia sisi ambao hatuna silaha eti tuanze kuandamana wao watatulinda hivi

Hawa watu wanatuchukuliaje.

Hapa hamna jeshi la wananchi ni jeshi la ccm oktoba 29 nalala

Mimi siwezi kuweka rehani maisha yangu kizembe hivyo hamna shujaa mbele ya risasi
 
Jeshi lipo na Wananchi .

Kilichotokeaga Mtwara Enzi zile, ni hawahawa waendésha Mauaji walivaa Gwanda za Kijeshi .

Jeshi lazima ulipe sababu , na sababu yenyewe ni Wananchi sisi kuandama.

Hata hivo, TUSIPOANDAMANA wewe, Mimi nitaandamana .

Jana nmeandika huku, MAANDAMANO HAYA ni makubwa sana ambayo Dunia yote itastaajabu lakini Vyombo vyote vya Habari vitayarepoti .


Narudia kuwastua, Yasikukute Hujajiandaa.

MAANDAMANO yapo na yamekamilika kimkakati, Maandalizi na Mipango !!.

Muliro anaenda kushangazwa.
 
Yaani wao wanasilaha wanatuambia sisi ambao hatuna silaha eti tukaandalane watatulinda hivi Hawa watu wanatuchukuliaje hapa hamna jeshi la wananchi ni jeshi la ccm oktoba 29 nalala Mimi siwezi kuweka rehani maisha yangu kizembe hivyo
Ww sio mwandamanaji..kwahiyo ulale ila kumbuka ukilala unatekwa vile vile
 
JF VAR CHECK
 
Wanajeshi wanatutegemea tena na sisi

Hapo hata mimi ndio eneo linalo nichanganya.

1760184394181.png
 
Hawa wanajeshi walipewa wasimamie MSD na hayati Magufuli lakini ndio wakapiga fedha ndefu.

Sio kwamba wanajeshi ndio wazalendo na wao wanatokana na jamii yetu hihii inayopenda wizi.
 
JF VAR CHECK
Tatizo la wengi wanaojadili hii dhana wanaipima kwa kuangalia upande mmoja tu wa wananchi.

Lakini ukiichunguza ni dhana pana inayo play both sides hadi kwa watawala, na huko usikute hali ni critically zaidi tunavyo fikiria.

Inapoibuliwa hoja ya namna hii, watu wengi huiegemesha upande wa wananchi lakini ukweli ni kwamba hadi kwa watawala ambao wanamiliki jeshi na nyenzo nzito bado ni wahanga wa hofu.

Ndio maana unaona mtaani hawakauki wakizunguka huku na kule ili mradi kutengeneza fear, lakini hata wao wanaombea yasitokee ambayo watu wanapanga kuyafanya kwasbabu wanajua vita hainaga droo.
 
Jeshi lipo na Wananchi .

Kilichotokeaga Mtwara Enzi zile, ni hawahawa waendésha Mauaji walivaa Gwanda za Kijeshi .

Jeshi lazima ulipe sababu , na sababu yenyewe ni Wananchi sisi kuandama.

Hata hivo, TUSIPOANDAMANA wewe, Mimi nitaandamana .

Jana nmeandika huku, MAANDAMANO HAYA ni makubwa sana ambayo Dunia yote itastaajabu lakini Vyombo vyote vya Habari vitayarepoti .


Narudia kuwastua, Yasikukute Hujajiandaa.

MAANDAMANO yapo na yamekamilika kimkakati, Maandalizi na Mipango !!.

Muliro anaenda kushangazwa.
Kumbe jeshi mpaka Sasa Halina sababu kweli hapa hamna kitu watu wote wanaotekwa na kupotea unasema jeshi Halina sababu mpaka lione wananchi ambao hawana silaha wanapigwa risasi barabarani wakijipambania ndio sababu sio
 
Hili la kuamini jeshi litawalinda ni kujilisha tu upepo,mkiandamana mtapigwa mchakae kama noti ya jero
 
Jeshi lipo na Wananchi .

Kilichotokeaga Mtwara Enzi zile, ni hawahawa waendésha Mauaji walivaa Gwanda za Kijeshi .

Jeshi lazima ulipe sababu , na sababu yenyewe ni Wananchi sisi kuandama.

Hata hivo, TUSIPOANDAMANA wewe, Mimi nitaandamana .

Jana nmeandika huku, MAANDAMANO HAYA ni makubwa sana ambayo Dunia yote itastaajabu lakini Vyombo vyote vya Habari vitayarepoti .


Narudia kuwastua, Yasikukute Hujajiandaa.

MAANDAMANO yapo na yamekamilika kimkakati, Maandalizi na Mipango !!.

Muliro anaenda kushangazwa.
Mimi na appreciate hiki mnachofanya japo ilikuwa ni wajibu wa kila mtu kufanya hivyo ila ni wachache ambao mpo solid enough to take the risk.

Hata Tesha alisema wapo wanajeshi wengi wanaungana na wananchi kwenye msimamo wao ila sio wote wapo na ujasiri kama wake kuweza kutoka hadharani kuongea.

Hivyo namimi ni miongoni mwa hao wanajeshi ambao hawana ujasiri ila wanakubaliana na wadau wote wanaopaza sauti za kuhubiri mabadiliko na kukemea maovu yanayoendelea saizi.

Jana nilikuwa na mabishano na baadhi ya wadau waliokuwa wanatoa dhihaka ya hizi jitihada zenu kwa kuwaita "keyboard warriors".

Kwenye kipindi ambacho wakosoaji wa mitandaoni wamekuwa wakiwindwa na kutekwa haiwezi kuchukuliwa jambo la kawaida kwa watu ya namna yenu kubezwa kwa dhihaka ya kuitwa "keyboard warriors" kwasababu sio jambo rahisi kufanya ukiwa na assurance ya usalama kwa 100%.
 
Inaonekana unaroho nyepesi mkuu, karibu kilingeni nikufanyie matambiko upokee roho ya ukauzu kama ya MKWAWA KITUNGUU, nitakufanyia na mambo ya KINJENGETILE mabunduki yao yatatoa maji kama siyo michuzi, nitakushauri zaidi utembee na bakuli la supu pembeni maana michuzi itakuwa mingi mtaani.
 
Yaani wao wanasilaha wanatuambia sisi ambao hatuna silaha eti tukaandalane watatulinda hivi Hawa watu wanatuchukuliaje hapa hamna jeshi la wananchi ni jeshi la ccm oktoba 29 nalala Mimi siwezi kuweka rehani maisha yangu kizembe hivyo hamna shujaa mbele ya risasi
Kikanuni jeshi huwa halifungamani popote , kutegemea jeshi liingilie kati kwenye eneo ambalo wao halijafikia level inayowaruhusu kuingilia ,hilo nalo nitatizo jingine .

Tukichafue jeshi litaamua lenyewe liingilie au lituue japo kutuua haitawezekana zaidi ya kulazimika kuingilia ili kutengeneza mazingira ya kutafuta suruhu
 
Inaonekana unaroho nyepesi mkuu, karibu kilingeni nikufanyie matambiko upokee roho ya ukauzu kama ya MKWAWA KITUNGUU, nitakufanyia na mambo ya KINJENGETILE mabunduki yao yatatoa maji kama siyo michuzi, nitakushauri zaidi utembee na bakuli la supu pembeni maana michuzi itakuwa mingi mtaani.
Sio kweli naongea uhalisia hapa hamna jeshi lililo upande wetu
 
Kikanuni jeshi huwa halifungamani popote , kutegemea jeshi liingilie kati kwenye eneo ambalo wao halijafikia level inayowaruhusu kuingilia ,hilo nalo nitatizo jingine .

Tukichafue jeshi litaamua lenyewe liingilie au lituue japo kutuua haitawezekana zaidi ya kulazimika kuingilia ili kutengeneza mazingira ya kutafuta suruhu
Kazi ya jeshi la ulinzi wa wananchi ni Nini naona kama hujui hata maana ya ulinzi wa wananchi ndio maana unaongea hivi inapotokea wananchi wanauwawa na kutekwa kwenye ardhi mnayoilinda nyie kama jeshi mnajiita jeshi la ulinzi wa wananchi mnasema eti mnasema sio wajibu wenu mtakua na akili timamu kweli
 
Sio kweli naongea uhalisia hapa hamna jeshi lililo upande wetu
Siyo wewe hapo dakika hizihizi umetoka kupandisha uzi wa kutabiri anguko kuu, namana unategemea hilo anguko lifanywe na nani kama wewe unaogopa na wanajeshi hawapo upande wetu?.
 
Yaani wao wanasilaha wanatuambia sisi ambao hatuna silaha eti tuanze kuandamana wao watatulinda hivi Hawa watu wanatuchukuliaje hapa hamna jeshi la wananchi ni jeshi la ccm oktoba 29 nalala Mimi siwezi kuweka rehani maisha yangu kizembe hivyo hamna shujaa mbele ya risasi
naona unapalilia ugali wako kwa kufanya propaganda
 
Back
Top Bottom