Wanasema wanajeshl wapo na sisi cha ajabu eti wanasema tuanze sisi kuandamana tarehe 29 hapa hamna kitu

Wanasema wanajeshl wapo na sisi cha ajabu eti wanasema tuanze sisi kuandamana tarehe 29 hapa hamna kitu

Umedata mkuu huu ni Uzi wangu wa kwanza leo
Aiseee! Muda ni mchache mambo ni mengi, ni kweli nimefananisha ID, nipende kukwambia wazi mkombozi wa kwanza wa taifa lako ni ww mwenyewe, usitegemee jeshi wara wanasiasa wote wanatafutia tumbo.
 
Yaani wao wanasilaha wanatuambia sisi ambao hatuna silaha eti tuanze kuandamana wao watatulinda hivi

Hawa watu wanatuchukuliaje.

Hapa hamna jeshi la wananchi ni jeshi la ccm oktoba 29 nalala

Mimi siwezi kuweka rehani maisha yangu kizembe hivyo hamna shujaa mbele ya risasi
Kuanzia tarehe 20 kuendelea viongozi wote wa cdm wasilale majumbani mwao maana watazingirwa hakuna kutoka mpaka tarehe tano huko .
Naomb niishie hapo
 
Back
Top Bottom