Wanasheria Badilikeni, Toeni majibu ya kisheria

Unajua tofauti ya mwalimu wa sheria na mwanasheria ambaye si mwalimu wa sheria?

mwanasheria anasimama mahakamani na mwalimu wa sheria anasimama darasani kufundisha lakini wote wanajua sheria,na wote wanaweza kujibu maswali yanayohusu sheria,swali lako unauliza kuwa unajua tofauti ya mwalimu anayefundisha na afisa elimu au mkuu wa shule? hao wote ni waalimu isipokuwa huyu anafundisha darasani na huyu mwingine hafundishi darasani lakini wote ni waalim na wanaujua ualimu.kwahy swali lako halina hoja ya msingi kajipange upya ujenge hoja ya msingi.
 
 
 
 
 

Mkuu nimekupa heko na LIKE juu, swali lake kweli halina hoja
 
 
Tunapenda kuwapa ushauri wakati mwingine lakini unakuta wakati mwingine mleta hoja au swali anakuuliza kitu uku akificha habari yenyewe kiasi kwamba unashindwa kujua hoja yake iko wapi na ndiyo maana mara nyingi unakuta unajibiwa kijuu juu maana hujaeleweka, pili hata kabla wanasheria hawatoa majibu wanapita watu wasio wanasheria na kutoa majibu ya utani, na kwa namna hiyo unakuta mwanasheria anahamua kuacha maana itakuwa ni kupoteza muda na kwa mawanasheria muda ni kitu muhimu sana
 
 
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…