Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
- Thread starter
- #21
Unajua tofauti ya mwalimu wa sheria na mwanasheria ambaye si mwalimu wa sheria?
mwanasheria anasimama mahakamani na mwalimu wa sheria anasimama darasani kufundisha lakini wote wanajua sheria,na wote wanaweza kujibu maswali yanayohusu sheria,swali lako unauliza kuwa unajua tofauti ya mwalimu anayefundisha na afisa elimu au mkuu wa shule? hao wote ni waalimu isipokuwa huyu anafundisha darasani na huyu mwingine hafundishi darasani lakini wote ni waalim na wanaujua ualimu.kwahy swali lako halina hoja ya msingi kajipange upya ujenge hoja ya msingi.