Wanasheria Badilikeni, Toeni majibu ya kisheria

Mi nafikiri kuna upande huko sawa kuna upande hauko sawa.

Kwa namna ya maswali yanayo wekwa humu ni yale yanayo hitaji muongo na msaada wa haraka, hivyo kinacho fanyika hapa ni kutoa muongozo na msaada wa
haraka.

Hivyo majibu hutolewa kulingana na matwaka ya
Muomba ushauri.

Hivyo si lazima vifungu viwekwe lakini inategemea na matakwa ya swali, kuna wengine wana hitaji vifungu si mbaya kuweka.
 
 

Ni Kweli Unayosema Kuwa Kuna Baadhi Ambao Siyo Wanasheria Wanajibu Maswali Ya Kisheria, Sasa Utayatofautishaje Majibu Ya Mwanasheria Na Asiye Mwanasheria? Ni Hv, Majibu Ya Mwanasheria Sharti Yaambatane Na Vifungu Vya Sheria Ambavyo Mimi Nikitaka Kujiridhisha Nitavitafuta Na Kusoma,ndo Maana Nasisitiza Mjitofautishe Na Mtu Ambae Si Mwanasheria Ambae Hujibu Bila Ushahidi Wa Vifungu Kuvitaja.Kama Wewe Ni Mwanasheria Unajibu Swali La Kisheria Pasipo Kunukuu Na Kutaja Kifungu Cha Sheria Hutofautiani
 
 
 
Huwezi kuona hoja yoyote ya msingi kwasababu hujui tofauti yake.:redface:

Kwahiyo Hili Jukwaa Wewe Limekuajili Utafsri Sheria? Huruhusiwi Kunukuu Vifungu Kwa Kuwa Halikukuajili Kwa Kazi Hy? Hv Jukwaa La Elimu Likiulizwa Swali Afsa Elimu Haruhusiwi Kujibu Kwa Kuwa Hafundishi Darasani? Hv Ukiwa Mwanasheria Ukanukuu Vifungu Utafukuzwa Kazi? Mambo Ya Ofisini Au Majukumu Ya Ofisini Yaishie Ofisini Na Ya Humu Ndani Hayahusiani Na Majukumu Yenu Ya Ofisi. Sasa Kama Wewe Unajua Mwal Wa Sheria Ndiye Anaepaswa Ajibu Wewe Kwanini Unakimbilia Kujibu? Na Kama Unasema Mwalimu Wa Sheria Ndiye Anaepaswa Anukuu Vifungu Kwahiyo Jukwaa Hili Litakuwa Linawahusu Walimu Wa Sheria,je La Kwenu Ni Lipi?
 
 
Kifupi Ni Hv, Jukwaa Hili Linawahusu Waalimu Wa Sheria Na Wanasheria, Ninaamini Wote Wanavijua Vifungu Na Wanajua Sheria, Hvy Wote Wanapaswa Wajibu Maswali Kwa Kunukuu Vifungu. Habari Za Mgawanyo Wa Kazi Zibaki Nje Ya Jukwaa Hili,na Ndiyo Maana Jukwaa Limewekwa Moja Tu. Jamiiforum Ingekuwa Inazingatia Majukumu Ya Kila Sekta,basi Lingetenganisha,lingeweka Jukwaa La Waalimu Wa Sheria,jukwaa La Wanasheria,hvy Hvy Hata Kwenye Jukwaa La Elimu Nako Kungekuwa Na Jukwaa La Wakuu Wa Shule,jukwaa La Wasilimu Wa Sekondari,jukwaa La Maafisa Elimu,jukwaa La Waratibu Elimu Kata, Lakini Limewekwa Moja Na Wote Wanatakiwa Wajibu Maswali Kitaalam Nasiyo Kukimbia Maswali Kwa Hoja Za Kipuuzi.Hvy Mwalimu Wa Sheria Na Mwanasheria Jibuni Hoja Kwa Vifungu Mjitofautishe Na Wasiyojua Sheria.
 
Ivi unadhani ikianza tabia ya kujibiwa kwa vifungu utaelewa? Mwanasheria anapokujibu bila kifungu ila ukaelewa inafaha zaidi ya kukutupia kifungu hapo ukabaki uelewi anamaanisha nini. Lugha za kisheria ni ngumu kuelewa na kila mmoja. Unapopewa ushauri na kuelewa, shukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…