Wanasheria Badilikeni, Toeni majibu ya kisheria

Wanasheria Badilikeni, Toeni majibu ya kisheria

Mi nafikiri kuna upande huko sawa kuna upande hauko sawa.

Kwa namna ya maswali yanayo wekwa humu ni yale yanayo hitaji muongo na msaada wa haraka, hivyo kinacho fanyika hapa ni kutoa muongozo na msaada wa
haraka.

Hivyo majibu hutolewa kulingana na matwaka ya
Muomba ushauri.

Hivyo si lazima vifungu viwekwe lakini inategemea na matakwa ya swali, kuna wengine wana hitaji vifungu si mbaya kuweka.
 
Mwamba 9467575 said:
mi sikushangai wala nn na we endelea kujua kwann unanishangaa mm lkn nachokushauri kwa sasa nenda ukapumzike tu mana ht mada ushasahau inaitwaje
btw km unatumia tusker barid jisogeze maeneo ya kwetu pazuri hapa utanikuta mida hii upate japo 2,,heheh

Utakua tu na msongo wa mawazo unakusumbua.... wahi hospitali...
 
Tunapenda kuwapa ushauri wakati mwingine lakini unakuta wakati mwingine mleta hoja au swali anakuuliza kitu uku akificha habari yenyewe kiasi kwamba unashindwa kujua hoja yake iko wapi na ndiyo maana mara nyingi unakuta unajibiwa kijuu juu maana hujaeleweka, pili hata kabla wanasheria hawatoa majibu wanapita watu wasio wanasheria na kutoa majibu ya utani, na kwa namna hiyo unakuta mwanasheria anahamua kuacha maana itakuwa ni kupoteza muda na kwa mawanasheria muda ni kitu muhimu sana

Ni Kweli Unayosema Kuwa Kuna Baadhi Ambao Siyo Wanasheria Wanajibu Maswali Ya Kisheria, Sasa Utayatofautishaje Majibu Ya Mwanasheria Na Asiye Mwanasheria? Ni Hv, Majibu Ya Mwanasheria Sharti Yaambatane Na Vifungu Vya Sheria Ambavyo Mimi Nikitaka Kujiridhisha Nitavitafuta Na Kusoma,ndo Maana Nasisitiza Mjitofautishe Na Mtu Ambae Si Mwanasheria Ambae Hujibu Bila Ushahidi Wa Vifungu Kuvitaja.Kama Wewe Ni Mwanasheria Unajibu Swali La Kisheria Pasipo Kunukuu Na Kutaja Kifungu Cha Sheria Hutofautiani
 
Wewe ukiajiriwa ofisini kwaajili ya kupanga mafile, kazi yako itakuwa ni hiyo tu... unaweza kuingilia kazi za mwenzako za kuyatengeneza mafaili hayo? mbona mnakuwa wagumu kuelewa maana ya responsibilities?
Mwalimu wa sheria atakwambia hadi vifungu kwasababu ndio kazi yake.
Mwanasheria atakutafsiria na kukupa ushauri... upo?

Kwahiyo Unataka Kuniambia Jukwaa Hl Ni Kwa Ajili Ya Waalimu Tu Wa Sheria? Au Hili Jukwaa Limewaajili Na Limewapangia Kila Mmoja Kazi Yake Kiasi Kwamba Wewe Mwanasheria Ukijibu Kwa Kunukuu Vifungu Utahatarisha Kibarua Chako Cha Hili Kwenye Jukwaa? Maana Sisi Tunazungumzia Ndani Ya Hili Jukwaa Wewe Unatutoa Nje Kwenye Ofisi Zenu! Hv Jukwaa La Elimu Likiulizwa Swali Afisa Elimu Hatakiwi Kulijibu Kwa Sababu Hafundishi Na Hvy Anatakiwa Ajibu Mwalimu Anaefundisha?
 
mi na ww nani alokasirika? afterall umeshindwa kustick kwenye mada ukaishia kuongea shit on me so itakua poa zaid ukipiga kimya, yakikuletea tafsir mbaya au nzuri i don care

Sasa wewe hapo unajiona umeongea point?
Nataka nikufunze jinsi ya kuacha umbea au kurukia maneno yasiyokuhusu. Are you a man kuyaongea unayoyaonge? Hata a boy hawez kurukia ivo.... sijui nikuweke kundi gani!!!!!
 
Huwezi kuona hoja yoyote ya msingi kwasababu hujui tofauti yake.:redface:

Kwahiyo Hili Jukwaa Wewe Limekuajili Utafsri Sheria? Huruhusiwi Kunukuu Vifungu Kwa Kuwa Halikukuajili Kwa Kazi Hy? Hv Jukwaa La Elimu Likiulizwa Swali Afsa Elimu Haruhusiwi Kujibu Kwa Kuwa Hafundishi Darasani? Hv Ukiwa Mwanasheria Ukanukuu Vifungu Utafukuzwa Kazi? Mambo Ya Ofisini Au Majukumu Ya Ofisini Yaishie Ofisini Na Ya Humu Ndani Hayahusiani Na Majukumu Yenu Ya Ofisi. Sasa Kama Wewe Unajua Mwal Wa Sheria Ndiye Anaepaswa Ajibu Wewe Kwanini Unakimbilia Kujibu? Na Kama Unasema Mwalimu Wa Sheria Ndiye Anaepaswa Anukuu Vifungu Kwahiyo Jukwaa Hili Litakuwa Linawahusu Walimu Wa Sheria,je La Kwenu Ni Lipi?
 
Sijui kama unaelewa kinachoongelewa bro.
The thinh is mwanasheria anapaswa kujibu kwa vifungu. Jaribu wewe kuvaa viatu vya hao wanasheria, then mada inawekwa jamvini, would you answer kila swali kwa vifungu? hata kama ni majibu ya ndio na hapana...Hapo si kumpoteza mtu asikuelewe tu.
Acha kukurupuka....

Halafu Hv Mnaotetea Upuuzi Huo Hv Ni Wanasheria? Hapa Hapa, Nyinyi Kwa Nyi Mnatofautiana, Mmoja Amedai Mwalimu Kazi Yake Ni Kufundisha Na Kunukuu Vifungu Vya Sheria Na Mwanasheria Kazi Yake Kutafsri Sheria, Na Wewe Hapa Unasema Mwanasheria Ndiye Anayenukuu Sheria!!
 
Kifupi Ni Hv, Jukwaa Hili Linawahusu Waalimu Wa Sheria Na Wanasheria, Ninaamini Wote Wanavijua Vifungu Na Wanajua Sheria, Hvy Wote Wanapaswa Wajibu Maswali Kwa Kunukuu Vifungu. Habari Za Mgawanyo Wa Kazi Zibaki Nje Ya Jukwaa Hili,na Ndiyo Maana Jukwaa Limewekwa Moja Tu. Jamiiforum Ingekuwa Inazingatia Majukumu Ya Kila Sekta,basi Lingetenganisha,lingeweka Jukwaa La Waalimu Wa Sheria,jukwaa La Wanasheria,hvy Hvy Hata Kwenye Jukwaa La Elimu Nako Kungekuwa Na Jukwaa La Wakuu Wa Shule,jukwaa La Wasilimu Wa Sekondari,jukwaa La Maafisa Elimu,jukwaa La Waratibu Elimu Kata, Lakini Limewekwa Moja Na Wote Wanatakiwa Wajibu Maswali Kitaalam Nasiyo Kukimbia Maswali Kwa Hoja Za Kipuuzi.Hvy Mwalimu Wa Sheria Na Mwanasheria Jibuni Hoja Kwa Vifungu Mjitofautishe Na Wasiyojua Sheria.
 
Kifupi Ni Hv, Jukwaa Hili Linawahusu Waalimu Wa Sheria Na Wanasheria, Ninaamini Wote Wanavijua Vifungu Na Wanajua Sheria, Hvy Wote Wanapaswa Wajibu Maswali Kwa Kunukuu Vifungu. Habari Za Mgawanyo Wa Kazi Zibaki Nje Ya Jukwaa Hili,na Ndiyo Maana Jukwaa Limewekwa Moja Tu. Jamiiforum Ingekuwa Inazingatia Majukumu Ya Kila Sekta,basi Lingetenganisha,lingeweka Jukwaa La Waalimu Wa Sheria,jukwaa La Wanasheria,hvy Hvy Hata Kwenye Jukwaa La Elimu Nako Kungekuwa Na Jukwaa La Wakuu Wa Shule,jukwaa La Wasilimu Wa Sekondari,jukwaa La Maafisa Elimu,jukwaa La Waratibu Elimu Kata, Lakini Limewekwa Moja Na Wote Wanatakiwa Wajibu Maswali Kitaalam Nasiyo Kukimbia Maswali Kwa Hoja Za Kipuuzi.Hvy Mwalimu Wa Sheria Na Mwanasheria Jibuni Hoja Kwa Vifungu Mjitofautishe Na Wasiyojua Sheria.
Ivi unadhani ikianza tabia ya kujibiwa kwa vifungu utaelewa? Mwanasheria anapokujibu bila kifungu ila ukaelewa inafaha zaidi ya kukutupia kifungu hapo ukabaki uelewi anamaanisha nini. Lugha za kisheria ni ngumu kuelewa na kila mmoja. Unapopewa ushauri na kuelewa, shukuru.
 
Back
Top Bottom