Wanasheria JF tunatia aibu

Wanasheria JF tunatia aibu

Hili liko wazi, ila ata elimu ya awali tu au kutoa ata maelekezo ya namna atakapo pata msaada huo, na uenda akawa ata ndo mteja wako huyu.

Muda unaweza kua tatizo pia, ila mbona kila saa tunawaona kule MMU, Siasa na kwengineko au whatsap kule mko masaa 24 online tu tena kwa mambo ya kijinga jinga tu.
Kwa kifupi ni kwamba. Amuone wakili aliyekaribu. Kumshauri mtu lazima kuna vitu uvipate kutoka kwake, huku mtandaoni mtu anatoa story kuna vitu vinakosekana, lakini akiwa na wakili ni rahisi kupata majibu sahihi kutoka kwa mteja na ndipo atoe ushauri sahihi. Otherwise kumsikiliza mteja nusu story unaweza ukam mislead mteja na ni kinyume na ethics za mawakili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtoa hoja nakuunga mkono kabisa, jukwaa la sheria limekuwa hovyo sana. Angalia majukwaa mengine ya Professionals kama IT na Afya, watu wanajitoa sana kusaidia watu! Offcourse kikubwa watu wanachouliza humu ni ushauri mdogo mdogo sana ambao unaweza kuwasaidia humuhumu. Hata kumjibu tu bac kumwambia njoo ofisini kwa ushauri zaidi nayo ni heshima! Wanasheria mbadilike
 
angalia majukwaa mengine walivyojitolea kwa hali na mali wakiongozwa na IT nenda Kule kwa mafundi magari watu wanajitoa sana cheki madaktari wote wako haraka sana unapohitajika msaada ila sio wanasheria ni wagumu sana kutoa msaada wao au angalau ushauri
 
MKUU 666 CHATA ,HOJA YAKO HII HATA MIMI NILIWAHI KUTOA MALALAMIKO YANGU KUHUSU HILI JUKWAA, Unakuta hoja inaletwa Lakini mhusika hapati majibu sahihi na kwa wakati!!Rejea thread zangu utakutana na Uzi niliouanzishaga juu ya hili jukwaa.
 
Mawakili tupo busy sana na kazi za wateja, kama anataka ushauri aende ofisi yeyote ya mawakili atasaidiwa, huku mitandaoni huwezi kutoa ushauri maana kuna facts anakua amezificha hivyo ni ngumu kumshauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha upngo wako kujifanya uko bise for nothing , Kama JAMIIFORUM walijua zipo ofisi za wanasheria SASA HILI JUKWAA walianzisha kwa misingi IPI? Ikiwa kila anayetaka ufafanuzi wa kisheria Wewe unataka asiweke hapa badala Yake akufuate ofisini kwako,! Je ikiwa kila MTU hatoweka matatizo Yake ya kisheria kwenye hili JUKWAA, Sasa hili JUKWAA litakuwa ni kwa ajili ya kujadili nini? Halafu hoja uliyoitoa ya kusema et huwezi kumshauri MTU hapa et kwa kuwa mteja kuna facts anakuwa amezificha ni hoja ya kijuha kabisa!!! Mshauri MTU kulingana na Maelezo Yake aliyokupa na si vinginevyo.Na Wewe uwakili wako nautilia mashaka kuhusu competent yako ikoje, Kwa hoja Laini kama hizi ni wazi siku zote utashindwa kesi
 
hawa jamaa kazi yao kubwa kujadili kesi ya mwaka flani au jaji gani anatoa hukumu vizuri na ujinga ujinga mwingine...ni vilaza tu wanaojikweza
 
Kwanza na Sisi chuon tulisoma bure?? C tulijipiga piga hy hvyo,, so client inabd atafutee huduna ya kisheria iliko lakn co mawakili au legal officers wamfuate client,, umenielewa hapo,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana amekufwata kwenye jukwaa la sheria a.k.a jukwaa lenu!!

Sawa hujasoma bure lakin unapomsaidia leo hata asipolipa ela kesho atarecommend watu waje kwako na hao watu watakulipa!! nadhan chuon mlisoma basics za biashara, ushauri unaotoa hapa ni kama njia ya kujitangaza na kupanua netwek mkuu!!!
 
Ndio maana amekufwata kwenye jukwaa la sheria a.k.a jukwaa lenu!!

Sawa hujasoma bure lakin unapomsaidia leo hata asipolipa ela kesho atarecommend watu waje kwako na hao watu watakulipa!! nadhan chuon mlisoma basics za biashara, ushauri unaotoa hapa ni kama njia ya kujitangaza na kupanua netwek mkuu!!!
Unajuaa msomi ndo maan tukasema badala ya kuandika humu maelezo kwa issue yake atafutee msaada wa wakili aliyepo kalibu yake,, aeleze mambo mengine ambayo humu hajayaelezea ili asaidiwe vzurii msomi,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom