billionaire17
Member
- Mar 31, 2017
- 31
- 43
Kwa kifupi ni kwamba. Amuone wakili aliyekaribu. Kumshauri mtu lazima kuna vitu uvipate kutoka kwake, huku mtandaoni mtu anatoa story kuna vitu vinakosekana, lakini akiwa na wakili ni rahisi kupata majibu sahihi kutoka kwa mteja na ndipo atoe ushauri sahihi. Otherwise kumsikiliza mteja nusu story unaweza ukam mislead mteja na ni kinyume na ethics za mawakiliHili liko wazi, ila ata elimu ya awali tu au kutoa ata maelekezo ya namna atakapo pata msaada huo, na uenda akawa ata ndo mteja wako huyu.
Muda unaweza kua tatizo pia, ila mbona kila saa tunawaona kule MMU, Siasa na kwengineko au whatsap kule mko masaa 24 online tu tena kwa mambo ya kijinga jinga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app