Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Habari!
Wanasheria, tunaomba mtusaidie walau tuweze kujua ni nini utaluwa msaada wa hawa mashahidi kutoka Kenya na Uganda katika hii kesi ya uhaini inayomkabili Lissu.
Kwa maneno mengine, wata- play role gani kwenye hii kesi wakiwa kama mashahidi wa mtuhumiwa?
Binafsi, nawaza labda watasaidia katika kueleza uhaini ni nini kulinganisha na sheria ya nchi yetu hasa kwa upande wa Martha Karua ambae nadhani ni mwanasheria wa kimataifa mbali na kuwa ni mwanaharakati.
Vile vile tutarajie Lissu kuwahoji mashahidi aliowaita au watahojiwa na mawakili wa Serikali na yeye Lissu kuongeza maswali tu kulingana na watavyojibu?
Na je, mawakili wa serikali bado wana nafasi ya kuweka mapingamizi au kuiomba Mahakama baadhi ya mashahidi kama Rais, Malamamu wa Rais na Waziri Mkuu wasifike mahakamani kutoa ushahidi?
Wanasheria mliomo humu tunaomba mtutoe tongo tongo kuhusu maswala haya wakati tukisubiri kesi kuanza kusikilizwa rasmi Oktoba 6, 2025..