Wanasheria mmezidi kizungu chenu 'kigumu'

Pole jamaa ila naona cha kawaida sana ''standard ''
 
Daah..kwa kweli hiki ni kingereza "kigumu"

Huyu mwanasheria kasoma wapi sijui
 
Ndio hawa majaji Tundu Lissu huwa anawasema, hawawezi kuandika hata lugha ya kidato cha pili.

Huyu leo umpelekee kesi ya bunge limepitisha sheria inayovunja katiba, ataiweza wapi masikini ya Mungu.

Bill Gates kasema tutachukua miaka 500 kupiga hatua kwa vile elimu yetu ndogo.
 
Hivi wewe unamfahamu Prof Lumumba? Hiki ni cha kawaida sana
 
Heee , ugumu upo wap hapo
Mbona kmaa wametumia kiengereza cha nursery school
 
Ni cha kawaida.. hiki chetu tuliokimbia umande.. sasa angetumia kile advanced si ndio ungeona kachoronga kichina..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hakuna ugumu hapo mtafute rasi simba akupige brash kidogo
 
Kweli hii Lugha ilikuja na ndege aisee......Mahakama Kuu ZNZ ndio imeandika English ya Chekechea hivi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…