Dah! Kweli tunatofautiana... Yani hapo nimeona wametumia basic English... Sasa kama wangetumia advanced English sijui ndio ingekuwaje... Wewe yawezekana ulisoma kiingereza chako kwa Ras Simba!
Nadhani ukipitia kwa makini sana kuna makosa mengi sana ya grammar. Nadhani ndio msingi wa hoja ya mleta Uzi. Si mtaalam sana wa mambo ya lugha ya kiingereza lakini hii ngumu kumesa. Pitieni kwa unakini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.