Huyo ni wewe.....! Mimi sina falsafa hizoUtakuwa ni psychopath na labda ndo maana mtoto katoroka, yaani damu yako unataka ifungwe Jela ?
Mimi Damu yangu hakuna kosa kubwa, hata anifanyie nini, she is always welcome back home maadamu bado naishi!
Hawa watoto wa siku hizi sijui wamerogwa na naniSi bora huyo kaondoka na fedha za malipo ya kiwanja.
Huku kuna mwingine Mzazi wake Amestahafu - Fedha Penseni zilivyoingia Benki tu, Mwanae anaijua password ya Kadi ya Benk, Kaiba kadi kisha kaenda kukwangua mzigo wote kisha kasepa
Huyo ni wewe.....! Mimi sina falsafa hizo
Mzazi anatakiwa kuandaa maisha bora kwa ajili ya uzao wake. Ukishindwa kuwekeza kwa watoto wako;ambao ndio urithi wako, ni hatari sana. Na matokeo yake ndio kama hayo.Wakuu habari.....
Nimekuwa ni msomaji tu wa JF kama guest. Lakini baada ya kunikuta nikaona nijiunge nipate msaada maana hapa hakuna kinachoshindikana,
Iko hivi nina mwanangu wa kiume umri miaka 33..! Huyu kijana ndio nilikuwa nikimtegemea haswa aje kusimamia mali zangu siku nikiwa sipo, na nilikuwa namuamini sana.
Sasa mwezi uliopita nilimuagiza akauze kiwanja changu mahali, na kwakuwa namuamini nikamruhusu pesa zilipwe kwa bank acc yake, cha ajabu baada ya kuwekewa pesa akatoweka na kunipa taarifa kwamba anaenda kutafuta maisha yake. Nikamkatalia na kumwambia kistaarabu arudishe pesa ila aligoma katakata na mpaka sasa simu zake zote hazipatikani.
Sasa nahitaji kumfungulia kesi atafutwe arudishe pesa lakini pia afungwe japo miezi 6 iwe fundisho kwa wadogo zake.
Nahitaji kujua nifuate taratibu gani kisheria zitakazonipa uhalali wa kufanya hayo ninayo yataka. Msaada wenu muhimu wakuu.
Wewe umesema kweliKuchukua mali ya mzee bila ridhaa yake ni laana tayari! Huyo kijana hawezi kufanikiwa kwa lolote na pesa hiyo
He! pyschopath tena kwa fedha zake mwenyewe! Kwa kweli alivyofanya ni ukosefu wa adabu na hasa kama anao na ndugu zake.Utakuwa ni psychopath na labda ndo maana mtoto katoroka, yaani damu yako unataka ifungwe Jela ?
Mimi Damu yangu hakuna kosa kubwa, hata anifanyie nini, she is always welcome back home maadamu bado naishi!
He! pyschopath tena kwa fedha zake mwenyewe! Kwa kweli alivyofanya ni ukosefu wa adabu na hasa kama anao na ndugu zake.
Hii comment imefunga uziInaonekana unamwamini lakini hujamtengenezea naye mfumo wa kupataa mali zake, penginepo amechokaa kila siku kukuomba omba elfu kumi na laki..
Kumbe wewe ni boya kwani ofisi za wanasheria huzijui.....? Au unataka kuyuchosha tuWakuu huo ushauri mnaonipa sijui nimuache sio kitu nilichokuja kuhitaji humu...! Maana hilo familia na ndugu wamenishauri ila nimewakatilia kata kata siwezi kumuacha aondoke na mali yangu, akatafute zake kama mimi nilivyohangaika kuzipata
Shukrani...! Angalau we umenipa mwanga, sasa kumpata ndio mtihani maana namba zake zote hazipatikaniUkimpeleka mahakamani nae atatoa maelezo yake, akishindwa kujitetea anahukumiwa Kama wezi wengine. Masuala yakusema hoooo afungwe miezi sita hayakuhusu, mahakama inaweza kumpiga mvua 4 au 8 huwezi kuipangia mahakama adhabu.
Kitendo Cha kusema arudishe pesa na afungwe miezi 6 inaonesha bado unahuruma dhidi yake hivyo muache na maisha yake. Kwasababu mpaka Sasa hiyo pesa Hana iliyokamilika, ameshapunguza nauli na kujipanga kimaisha kabla hajaanza biashara zake. Ukimpeleka mahakamani ndugu waliokushauri umsamehe ndio watakao muwekea dhamana, hivyo utaweka ufa kwenye familia.
Huyo mtoto hatujapata maelezo yake huenda akisimulia alivyopambana hapo nyumbani tunaweza kuona hata alichochukua ni kidogo.
Hata ukifungua kesi mahakamani watawaomba mkakae kifamilia Kwanza muyamalize na mzee ukizingua kwenye vikao vya kifamilia, adhabu anapunguziwa yaani atahukumiwa kwenda jera miezi minne bila ghalama au alipe faini ya elfu 50. Yaani hata mia hupati na dogo analipa faini na kesi inakua imeisha.
Nawachukia watoto wasio na adabu lakini siwapendi wazee mabahili Kama wewe.
Baba najua una hela ndio, ila kijana nina miaka 33 hujaniwekea msingi wa maisha yangu hadi nadiriki kutoroka na hela zako huoni tatizo lipo kwako? Tusilaumiane baba tena kuwa makini na mimi!Wakuu huo ushauri mnaonipa sijui nimuache sio kitu nilichokuja kuhitaji humu...! Maana hilo familia na ndugu wamenishauri ila nimewakatilia kata kata siwezi kumuacha aondoke na mali yangu, akatafute zake kama mimi nilivyohangaika kuzipata
Kijana wake yupo Facebook kule haijui jf labda Kama unamjibia.Baba najua una hela ndio, ila kijana nina miaka 33 hujaniwekea msingi wa maisha yangu hadi nadiriki kutoroka na hela zako huoni tatizo lipo kwako? Tusilaumiane baba tena kuwa makini na mimi!
Wazee kama nyinyi dawa yenu ninayo mimi.
Kwa taarifa yako unayemtafuta ndio mimi na huwezi kunifanya kitu! Sanasana ukinifuatilia nakugeuza msukule maana nakujua nje ndani
Umgemuacha toka ana miaka 23 akaenda kutafuta mpaka sasa angekuwa na chake. Asingekuja kuiba hela ya kiwanja. Pengine mpaka sasa angekuwa na familia. Lakini umemfuja, labda hata laki hujawahi kumpa, leo ameuza kiwanja amejilipa kiinua mgongo ametambaa.Wakuu huo ushauri mnaonipa sijui nimuache sio kitu nilichokuja kuhitaji humu...! Maana hilo familia na ndugu wamenishauri ila nimewakatilia kata kata siwezi kumuacha aondoke na mali yangu, akatafute zake kama mimi nilivyohangaika kuzipata
Umgemuacha toka ana miaka 23 akaenda kutafuta mpaka sasa angekuwa na chake. Asingekuja kuiba hela ya kiwanja. Pengine mpaka sasa angekuwa na familia. Lakini umemfuja, labda hata laki hujawahi kumpa, leo ameuza kiwanja amejilipa kiinua mgongo ametambaa.
Muache aende, alichochukua ndio mshahara wake
Naona unamshauri mzee mwenzako ujinga....unajua Mali aliyonayo mtoa mada? Je unafahamu kauza kiwanja cha tsh ngapi?Ningekuwa Mimi ningemuacha Ila ktk Mali nilizonazo Sasa ningetafuta mwanasheria na kuandika wosia wa kwamba ikitokea Mimi na mke wangu wote tukafa Mali furani apewe mtoto Fulani Mali ile apewe yule kila mtoto na Mali yake nagawa kabisa mwisho naandika mtoto Fulani ambaye ndio amekimbia na hela asipate chochote kwny mgao wa Mali zangu yeye alishachukua chake wakati wa kuuza kiwanja Cha sehemu Fulani bila idhini yangu.Hapo bila wosia hata ikitokea ukafa atakuja kuwasumbua wenzake
Naona unamshauri mzee mwenzako ujinga....unajua Mali aliyonayo mtoa mada? Je unafahamu kauza kiwanja cha tsh ngapi?
Unataka kuniambia kwamba wewe hujawahi kukosea katika makuzi yako....na je hatua Kali zingechukuliwa kama unavyoshauri hapa ungekuwa hapa jf?Naona unamshauri mzee mwenzako ujinga....unajua Mali aliyonayo mtoa mada? Je unafahamu kauza kiwanja cha tsh ngapi?
Unataka kuniambia kwamba wewe hujawahi kukosea katika makuzi yako....na je hatua Kali zingechukuliwa kama unavyoshauri hapa ungekuwa hapa jf?
Msiharibu familia za watu kimasihara....kumkuza mtoto hadi 33yrs sio jambo do
Msiharibu familia za watu kimasihara....kumkuza mtoto hadi 33yrs sio jambo ddo
Usijibu kwa mihemko toa ushauri wako ww Kama hujaelewa comment yangu pita sio lazima ukaandika Kama huna Cha kuandikaNaona unamshauri mzee mwenzako ujinga....unajua Mali aliyonayo mtoa mada? Je unafahamu kauza kiwanja cha tsh ngapi?
Unataka kuniambia kwamba wewe hujawahi kukosea katika makuzi yako....na je hatua Kali zingechukuliwa kama unavyoshauri hapa ungekuwa hapa jf?
Msiharibu familia za watu kimasihara....kumkuza mtoto hadi 33yrs sio jambo dogo.