Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kuna watu wamezeeka kwa mujibu wa miaka lkn hawajitambui majukumu yao kwa watoto. Huenda hata huyo mtoto hajapewa elimu boraMzazi anatakiwa kuandaa maisha bora kwa ajili ya uzao wake. Ukishindwa kuwekeza kwa watoto wako;ambao ndio urithi wako, ni hatari sana. Na matokeo yake ndio kama hayo.
Vumilia tu. Utasahau hayo maumivu muda si mrefu. Hakuna kitu chenye thamani duniani kama watoto. Wasiokuwa nao na wangetamani kuwa nao, wanatamani wapate hata kama huyo tapeli.
Japokuwa, malezi uliyomlea yanaweza kuwa chanzo cha hayo yote. Ukipata nafasi soma hatua za makuzi toka kwa mwanasaikolojia erick erickson