Kuna watu wamezeeka kwa mujibu wa miaka lkn hawajitambui majukumu yao kwa watoto. Huenda hata huyo mtoto hajapewa elimu boraMzazi anatakiwa kuandaa maisha bora kwa ajili ya uzao wake. Ukishindwa kuwekeza kwa watoto wako;ambao ndio urithi wako, ni hatari sana. Na matokeo yake ndio kama hayo.
Vumilia tu. Utasahau hayo maumivu muda si mrefu. Hakuna kitu chenye thamani duniani kama watoto. Wasiokuwa nao na wangetamani kuwa nao, wanatamani wapate hata kama huyo tapeli.
Japokuwa, malezi uliyomlea yanaweza kuwa chanzo cha hayo yote. Ukipata nafasi soma hatua za makuzi toka kwa mwanasaikolojia erick erickson
Usijibu kwa mihemko toa ushauri wako ww Kama hujaelewa comment yangu pita sio lazima ukaandika Kama huna Cha kuandika
Sio kujibu kwa mihemko hapa ushauri wako unaweza kupokelewa au kukataliwa....in short umemshauri ujinga na hauna hekima. Hayo ni mawazo yangu. Bisha.Usijibu kwa mihemko toa ushauri wako ww Kama hujaelewa comment yangu pita sio lazima ukaandika Kama huna Cha kuandika
Mwenye kupokea au kukataa ushauri Ni mtoa post hapa umeongea ujingaSio kujibu kwa mihemko hapa ushauri wako unaweza kupokelewa au kukataliwa....in short umemshauri ujinga na hauna hekima. Hayo ni mawazo yangu. Bisha.