Wanasheria na wanaharakati badilisheni hili, halina faida kwa nchi

Kwa akili na hoja yako hapa unamaanisha pia, mtu akiua au akiiba asifungwe kwakuwa kuna watu nyuma yake wanamtegemea na pia ni hasara kwa taifa?

Mhalifu asipewe adhabu kwakuwa akipewa kuna watu wengine watadhurika na adhabu yake, si ndio?
Sio hivyo bana, Kuna kosa na kosa, kwa mtu aliethibitika walimpa mimba mwanafunzi kwa kumlaghai hawezi hukumu wa Sawa na mwizi wa kutumia silaha, hapa tunaomba wazee wa baraza na jaji, watathimini kesi kama hii na kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa, jamii hasa walipata kodi, mtoto na mamake. Ukweli ni kwamba sheria hii kwa namna Fulani I am ana Sana mwaname... Usidhani kwamba wanazingatia kuwa maadili ya vitoto vya sikuhizi yameharibika kiasi kwamba anajirahisha kwa mtu na vile shetani abipiwi.. Mimba inaingia. 😁
 
Umeongea hoja ya msingi sana hapa,kama mleta mada anamhrumia mtoto ni afadhali angesema mhalifu akifungwa hio miaka thelathini,huko jela kuwe na mfumo wa kufanya kazi na kulipwa pesa ambayo itaenda kwenye matunzo ya mtoto ila sio kukaa mtaani ,hii itachochea ubakaji zaidi
 
Vifungo viwe palepale na kukaza wa chini ya miaka 18 na mwenyewe kuendelee vilevile mpaka tumpate mshindi kati ya sheria na wato***ji wa under 18 japo mpaka sasa naona bado ni droo kwasaabu vifungo vinaendelea na mimba zinabebwa
 
Ndio maana wazazi wanaoweza kutambua hili hawafikishi hizo kesi mahakamani wanaelewana baba wa mtoto analea mwanae. Wazazi wanaojikuta wakomoaji ndio hubaki na mzigo wa mimba mpka azae
 
Mimi si mwanasheria nimeleta hoja tu ndiyo sababu nimewaachia wanasheria waangalie adhabu na utaratibu ambao utamtoa mtoto kwenye adhabu aipatayo sasa na siku zijazo.
 
Hiyo sheria iendelee utaratibu wa kushusha mvua uendelee tu maana kama una akili timamu kwann utembee na kitoto kidogo wakati mishangazi imetapakaa kila mahali hii haikubaliki
 
Hiyo sheria iendelee utaratibu wa kushusha mvua uendelee tu maana kama una akili timamu kwann utembee na kitoto kidogo wakati mishangazi imetapakaa kila mahali hii haikubaliki
Mada inamuhusu mtoto anayeteseka kwa kukosa wazazi wa kumlea.
 
Wewe huna hoja, tangu lini mfungwa anafanya kazi za jela kwa malipo. Huyu jamaa ameongelea ameomba kurekibisha adhabu ya makosa aina moja, sasa wewe hueleweki unataka alipwe mfungwa, alitia mimba au wafungwa wote, maana wafungwa wote wanashiriki kazi za gerezani, na hujasema nani awe na jukumu la kumlipa mfungwa gerezani.
 
Hiyo sheria iendelee utaratibu wa kushusha mvua uendelee tu maana kama una akili timamu kwann utembee na kitoto kidogo wakati mishangazi imetapakaa kila mahali hii haikubaliki
Hii kitu ukichunguza vixuri, una kuta ni watoto kwa watoto ndiyo hupeana mimba, watu wazima kama wapo ni wachache sana.
Nimewahi kuona wskati nipo mkoa fulani, mwanafunzi wa sekondary kampa mimba mwanafuzi mwenzie wa sekondary, yule wa kiume alihukumiwa kwenda jela, wa kike hakupata shida kabisa, sema alikosa kuendelea na shule tu, kama bado alikua ana hamu ya kutoa papa, alitoa kama kawaida.
 
Hiyo sheria iendelee utaratibu wa kushusha mvua uendelee tu maana kama una akili timamu kwann utembee na kitoto kidogo wakati mishangazi imetapakaa kila mahali hii haikubaliki
Kwani unatembea na mtoto aliye au atakayezaliwa! Hoja yangu ni kumlinda mtoto mtarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…