Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Hizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia.
Nyakati hubadilika.
Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na human crimes, ukatili and mauaji ya halaiki walihukumiwa kifo na vifungo vya Maisha .
Kwa kuwa mpaka sasa ni kama CCM na timu yao ni wamekataa kuwajibika kwa mauaji ya halaiki huku wakiamini maisha yanaendelea na wanaendelea kupiga kazi….
basi tuendelee kuweka rekodi manaa muda unakuja …. Kama wandhani limeisha waendelee kujiaminisha hivyo na tume zao zisizokuwa na kichwa wala miguu
Samia na top officialls wake ni lazima waje kupanda kizimbani na hiii ni suala LA muda .
Dr Megalodon Mushi,
Canada 🇨🇦