this is useless and completely nonsense article of the day πHizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia.
Nyakati hubadilika.
Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na human crimes, ukatili and mauaji ya halaiki walihukumiwa kifo na vifungo vya Maisha .
Kwa kuwa mpaka sasa ni kama CCM na timu yao ni wamekataa kuwajibika kwa mauaji ya halaiki huku wakiamini maisha yanaendelea na wanaendelea kupiga kaziβ¦.
basi tuendelee kuweka rekodi manaa muda unakuja β¦. Kama wandhani limeisha waendelee kujiaminisha hivyo na tume zao zisizokuwa na kichwa wala miguu
Samia na top officialls wake ni lazima waje kupanda kizimbani na hiii ni suala LA muda .
Dr Megalodon Mushi,
Canada π¨π¦
NILITOA RAI HAPA KUWA CHEDEMA TAFUTA HISTORIAN AANDIKE HAYA MAMBO YASIJE YAKASAHAULIKA. WEKA ACCOMPLICES WOTE HATA VIZAZI VIJAVYO VIWAANGAIZE WOTE WALIONUFAIKA NA MAUAJIHizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia.
Nyakati hubadilika.
Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na human crimes, ukatili and mauaji ya halaiki walihukumiwa kifo na vifungo vya Maisha .
Kwa kuwa mpaka sasa ni kama CCM na timu yao ni wamekataa kuwajibika kwa mauaji ya halaiki huku wakiamini maisha yanaendelea na wanaendelea kupiga kaziβ¦.
basi tuendelee kuweka rekodi manaa muda unakuja β¦. Kama wandhani limeisha waendelee kujiaminisha hivyo na tume zao zisizokuwa na kichwa wala miguu
Samia na top officialls wake ni lazima waje kupanda kizimbani na hiii ni suala LA muda .
Dr Megalodon Mushi,
Canada π¨π¦
kulikoni mihemko nonsense kwenye maoni yangu dhidi ya hiyo porojo yako jukwaani gentleman?πSio kila kitu unapinga
Hivi una utimamu wa akili ?β
Nimeheshimu maoni yako;kulikoni mihemko nonsense kwenye maoni yangu dhidi ya hiyo porojo yako jukwaani gentleman?π
nadhani hizo porojo haziwapi tena public sympathy mnayoitaka gentleman,Nimeheshimu maoni yako;
Mmeua Watanzania halaf mnajifanya hakuna kilichotokea, hakika nyie ni wendawazimu
Hapa hakuna kuganga ya jayo ; ishu ni hamna Uhalali wa kuongoza nchi
Mmeua watanzania ; na mtatakiwa kulipa
Pia,jinai haifi.Hakuna udikteta unaodumu milele duniani.
Ni muhimu.Hizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia.