Wanasheria, nahitaji nyaraka zifuatazo

Wanasheria, nahitaji nyaraka zifuatazo

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Poleni na kazi ngumu ya utafsiri sheria, hata hivyo nahitaji kujua au kupatiwa nakala (softcopy) kwa lugha ya kiswahili za vitu vifuatavyo:

1. mwenendo wa makosa ya jinai

2. Taratibu za sheria ya jinai

3.Sheria ya biashara na mikataba

4. jinsi ya kuendesha kesi za jinai

5.kanuni ya adhabu.

6, sheria ya ushahidi na mwenendo wake,

baadhi ya documrnts nnazo kwa lugha ya kiingereza mf. the sale of goods Act na the proceeds of crime act (kama sijakosea)

wasalaam!
 
Lakini si umepatiwa website zinakopatikana? au unataka wadownload na na kukupa, ebu tumia kidogo juhudi na si kulaumu

huyu unaemjibu hivyo sie aliyetoa post, tazama vizuri. Mtoa post ni MAKOLE
 
Poleni na kazi ngumu ya utafsiri sheria, hata hivyo nahitaji kujua au kupatiwa nakala (softcopy) kwa lugha ya kiswahili za vitu vifuatavyo:

1. mwenendo wa makosa ya jinai 2. Taratibu za sheria ya jinai 3.Sheria ya biashara na mikataba 4. jinsi ya kuendesha kesi za jinai 5.kanuni ya adhabu. 6, sheria ya ushahidi na mwenendo wake, baadhi ya documrnts nnazo kwa lugha ya kiingereza mf. the sale of goods Act na the proceeds of crime act (kama sijakosea)

wasalaam!
Kaka hizi kitu mbona ninazo na amendment zake kwa lugha ya kiswahili we cheki na mi hapa 0712619975
 
Back
Top Bottom