frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika na issue zote za Mambo ya HR.
Sasa katik Kazi kuna mengi kampuni X inamshutumu jamaa ameisababishia hasara ya kiasi kinachozidi Milion 30 akapelekwa polisi akahojiwa akatoka Kwa dhamana ila kampuni X ikachukua maelezo ikaenda nayo kuyafanyia Kazi.
Swali je kampuni X inaweza kumstaki mtu ambaye haikumuajili kwenda nae mahakamani? Ni yupi anayetakiwa amstaki yeye kama kweli uchunguzi utabaini anahusika ni X au ni kampuni Y. Na je ikitokea akashinda kesi kama itaenda mahakamani fidia atalipwa na kampuni X au Y. Na kama atakutwa na hatia adhabu yake ni ipi kisheria?
NB. Mwanasheria makini pia anahitajika.