Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Soma vizuri utaona athari ya rais kuchangisha pesa, angekuwa ameuachia urais isingekuwa shida.Ina athari gani?
Hizo hizo hata kama kesi itapigwa kalenda mpaka mwaka kesho lakini tutakuwa tunajua wapi panavuja.Mahakama zipi hizo
Ova
Kama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-toneHapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Hakuna swali la kijinga duniani.Ujibiwe ili iwe reference mbeleni.Ina athari gani?
Hapa anayeongoza ni rais wa nchi na raslimali za nchi akiwa nazo zimemzunguruka.Kama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-tone
Hao wafanyabiashara wanaichangia CCM mara nyingi tu n,,,hiyo haitakua ya kwanza,,,labda utueleze kama ni kinyume Cha Sheria.Hapa anayeongoza ni rais wa nchi na raslimali za nchi akiwa nazo zimemzunguruka.
Mbona mzito kuelewa! Hapa ninazungumzia rais wa nchi kuchangisha pesa kwa ajili ya chama chake huku akitumia raslimali za nchi, hakuna madhara kama atachsngisha mtu mwingine.Hao wafanyabiashara wanaichangia CCM mara nyingi tu n,,,hiyo haitakua ya kwanza,,,labda utueleze kama ni kinyume Cha Sheria.
Usijali,, kuwa mzito wa kuelewa isikusumbue ni hali tu ya kibinadamu.Mbona mzito kuelewa! Hapa ninazungumzia rais wa nchi kuchangisha pesa kwa ajili ya chama chake huku akitumia raslimali za nchi, hakuna madhara kama atachsngisha mtu mwingine.