Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Aah wew ungeenda mkuu. Unachukulia powaaa
Money launderingHapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Kwani ni mchango wa lazima au wa hiyari.Kama wewe unatabia za kuchangia mambo kwasababu ya woga ni wewe usiwasemee wengine..Hayo ni mambo ya hiyari na ya wana ccm nawale wataoguswa wewe unaangaika nini kama hayakuhusu.au tuambie kifungu cha sheria kitakachotumika uko mahakamani.Mbona mzito kuelewa! Hapa ninazungumzia rais wa nchi kuchangisha pesa kwa ajili ya chama chake huku akitumia raslimali za nchi, hakuna madhara kama atachsngisha mtu mwingine.
Jmn nyie sasa mmekua wapumbavu for sure mmezidi ujingaHapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Matajiri Wasio changia wanaweza watashughulikiwa na wasiojulikana.Ina athari gani?
Aachie ili iweje..Soma vizuri utaona athari ya rais kuchangisha pesa, angekuwa ameuachia urais isingekuwa shida.
Nani awezaye kumgomea raisi??? Tena atokaye kwenye chama cha wala rushwa CCM? HAJITAKI HUYOIna athari gani?
Sawa kabisa..Hapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Me siwezi kutoa hata mia mbovuHapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Hya mambo yanahatari kubwa, nenda Kaangalie magufuli alipokuwa anaongea na wafanyabiashara baada ya kuwa rais na Nini aliwaambia!Kama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-tone
Hicho ni kichaka cha kuficha ukwapuaji wa pesa unaoendelea huko hazina sasa hivi; mtaelewa baadae kukiwa kumekucha tayari.hapo ndipo mbuzi anapobugia kwa urefu wa kamba yake
Nini kifanyike kuzuia huo wizi ?Hicho ni kichaka cha kuficha ukwapuaji wa pesa unaoendelea huko hazina sasa hivi; mtaelewa baadae kukiwa kumekucha tayari.
Kwanza hiyo fursa ndiyo wanaitaka wapige picha na Rais wakabandike maofisini kwao.Hao wafanyabiashara wanaichangia CCM mara nyingi tu n,,,hiyo haitakua ya kwanza,,,labda utueleze kama ni kinyume Cha Sheria.
Elewa maana ya hiyo kampeni kuendeshwa na Rais wa nchi, tena Tanzania!Kama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-tone