Utakuja kuusoma huu Uzi wako ukiwa umechelewa sana...hujui madhara yake...yetu macho sasaKama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-tone
Utakuja kuusoma huu Uzi wako ukiwa umechelewa sana...hujui madhara yake...yetu macho sasaKama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-tone
Tonetone haikuchangishwa na rais wa Tanzania, mbona wazito kufafanua mambo!Kama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-tone
Hapana. Atayeongoza harambee ni mwenyekiti wa CCM.Hapa anayeongoza ni rais wa nchi na raslimali za nchi akiwa nazo zimemzunguruka.
Samia ni rais wa nchi na hapo ukumbini patatambulika kuwa rais yumo ukumbini.Usijali,, kuwa mzito wa kuelewa isikusumbue ni hali tu ya kibinadamu.
Huyo rais wa nchi ndiye mwenyekiti wa CCM,,tatizo lilitakiwa lianzie hapa.
CCM wanafanya harambee ya chama chao,wameamua mwenyekiti wao ndio awe mgeni rasmi.
Hata harambee ya CCM itachangishwa na mwenyekiti wa CCM. Waambie hao wanasheria wako wakaishtaki kwanza CHADEMA kwa kuchangisha michango.Tonetone haikuchangishwa na rais wa Tanzania, mbona wazito kufafanua mambo!
Huyu mama bichwa nazi haswaa wenzie wanamjaza tu kwenye mfumo ili wakamilishe ujambazi wao nae anaingia kichwa kichwaHapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Walio wengi watachangia eidha kwa woga (kushughulikiwa iwapo hawatachangia) na wachache kujipendekeza kuvizia teuzi!!.Ina athari gani?
HAWAWEZI kuzuia hata kwa mahakama kwasababu ipo kikatiba na kisheria. Hata Marais wa huko duniani watawaashangaa ninyi Wana Chadema ambao kila uchao mnaomba michango kwa wananchi lakini hamtaki wengine wafanye hivyo!Hapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Hebu nenda gereji ya Nduvini wakipanue kichwa chako kiwe na uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo.HAWAWEZI kuzuia hata kwa mahakama kwasababu ipo kikatiba na kisheria. Hata Marais wa huko duniani watawaashangaa ninyi Wana Chadema ambao kila uchao mnaomba michango kwa wananchi lakini hamtaki wengine wafanye hivyo!
Hapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia: CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni
Ili uwajue wahuni ni lazima uingie kwenye gheto lao.Mahakama zipi ndugu? Hukuwahi kusikia wahuni si watu wazuri?
Ili uwajue wahuni ni lazima uingie kwenye gheto lao.
Jenga hoja dogo!Hebu nenda gereji ya Nduvini wakipanue kichwa chako kiwe na uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo.
Yeah!...hata Kodi huenda wakakwepa kwa kisingizio cha kuchangia chama.UKICHANGISHA WAFANYABIASHARA,BAADA YA UCHAGUZI WATAPANDISHA BEI YA BIDHAA ZAO BILA KUDHIBITIWA .
Sababu walichangia chama!
Hilo ni gheto la viongozi na familia zao, viongozi wote wana kopi zao ndani ya CCM na mwingine mpya ataongezeka baada ya baba kumaliza mwendo.Unamaana CCM wameingizwa humo!