GE2025 Wanasheria nendeni mahakamani haraka kuzuia Rais kuchangisha pesa za kampeni ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama wanaochangishwa ni wanachama na mashabiki wa CCM haina shida,,,kama ilivyokua inafanyika kwa Chadema tone-tone
Utakuja kuusoma huu Uzi wako ukiwa umechelewa sana...hujui madhara yake...yetu macho sasa
 
Usijali,, kuwa mzito wa kuelewa isikusumbue ni hali tu ya kibinadamu.

Huyo rais wa nchi ndiye mwenyekiti wa CCM,,tatizo lilitakiwa lianzie hapa.

CCM wanafanya harambee ya chama chao,wameamua mwenyekiti wao ndio awe mgeni rasmi.
Samia ni rais wa nchi na hapo ukumbini patatambulika kuwa rais yumo ukumbini.
 
Huyu mama bichwa nazi haswaa wenzie wanamjaza tu kwenye mfumo ili wakamilishe ujambazi wao nae anaingia kichwa kichwa
 
Kipindi ananunua hayo mapikipiki na basket na magari hakubakisha hela ? Yaanj amewapa na anataka kuchukua zaidi? Ifike mahala mpate akili
 
UKICHANGISHA WAFANYABIASHARA,BAADA YA UCHAGUZI WATAPANDISHA BEI YA BIDHAA ZAO BILA KUDHIBITIWA .
Sababu walichangia chama!
 
HAWAWEZI kuzuia hata kwa mahakama kwasababu ipo kikatiba na kisheria. Hata Marais wa huko duniani watawaashangaa ninyi Wana Chadema ambao kila uchao mnaomba michango kwa wananchi lakini hamtaki wengine wafanye hivyo!
 
HAWAWEZI kuzuia hata kwa mahakama kwasababu ipo kikatiba na kisheria. Hata Marais wa huko duniani watawaashangaa ninyi Wana Chadema ambao kila uchao mnaomba michango kwa wananchi lakini hamtaki wengine wafanye hivyo!
Hebu nenda gereji ya Nduvini wakipanue kichwa chako kiwe na uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo.
 
Hapa naona CCM ndiyo inapanga gharama za uchaguzi na siyo tume kama inavyotakiwa kisheria.
 
Yule mama anatumia taasisi ya Urais kuharibu mambo, haiwezekani kuendesha vitu vya kijinga kama hicho. Yeye anahamasisha anaowateua wale kwa urefu wa kamba zao...yaani waibe pesa ktk nafasi alizowateua...sasa mtu kama huyo hata akichangisha ujue ni yaleyale...watu watatoa fedha kwa uoga na si kwa moyo...sababu anayechangisha ni rais wa nchi..ila yeye ni kinara wa kuhamasisha uizi kwenye taasisi za umma kwa kuwaruhusu watendaji serikalini kuiba mali
 
UKICHANGISHA WAFANYABIASHARA,BAADA YA UCHAGUZI WATAPANDISHA BEI YA BIDHAA ZAO BILA KUDHIBITIWA .
Sababu walichangia chama!
Yeah!...hata Kodi huenda wakakwepa kwa kisingizio cha kuchangia chama.
 
Unamaana CCM wameingizwa humo!
Hilo ni gheto la viongozi na familia zao, viongozi wote wana kopi zao ndani ya CCM na mwingine mpya ataongezeka baada ya baba kumaliza mwendo.
 
Dogo alishapata 100 A+ sema anaenda kuigizia tu ili msiulize alipataje hio 100



paper kajisahishia huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…