GE2025 Wanasheria nendeni mahakamani haraka kuzuia Rais kuchangisha pesa za kampeni ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nini kifanyike kuzuia huo wizi ?
Kulalamika mtandaoni kunatosha ?
Unganisheni nguvu kuwa ng'oa CCM ndio mdudu mharibifu wa mali na maisha ya Watanzania.

Jina tu la chama chao kuwa na neno mapinduzi mwishoni ni unajisi na kujichulia siku moja watapinduliwa wao bila kutarajia.
 
Unaposema unganisheni nguvu, wewe unakuwa wapi muda huo au wewe nguvu zako hazihitajiki ?
 
Ccm ilishajifia
Kwenye nchi inayoendeshwa kidekrasia iwe ki-nadharia au ki-uhalisia vyama vinaomba michango kwa wadau wake hata Marekani wanafanya hivyo na kwa nchi hii hakuna chama kinaongoza kwa kuchangisha kukifikia chadema
 
Elewa maana ya hiyo kampeni kuendeshwa na Rais wa nchi, tena Tanzania!
CCM ndio chama tawala hizo athari unazozihisi zitakuwepo tu hata kama kampeni hiyo itasimamiwa na katibu mkuu, au makamu mwenyekiti.
 
CCM ndio chama tawala hizo athari unazozihisi zitakuwepo tu hata kama kampeni hiyo itasimamiwa na katibu mkuu, au makamu mwenyekiti.
Watanzania bado sana, uwezo wetu wa kugundua uhalifu ni mdogo ndiyo sababu ripoti za mkaguzi mkuu wa serikali hazishughulikiwi na bunge.
 
Tumeshuhudia wahalifu wa hela ya "mboga" nao walikuwa wachangiaji wakubwa wakitoa hela ya biriyani, pia wafanyabiashara wa Kariakoo wakichangia huku wakimuomba rais awawezeshe kwa kuwapa mikopo! Hii ni ile nakupa ila nawe unikumbuke kwa chochote kitu, wachsngiaji wote lengo lao ni pesa walizotoa zitarudi kupitia dirisha la "hao ni wenzetu" wasaidieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…