TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kama umetambua hivyo.
By the way, what is contract?
Is there an issue with the definition of contract?
Gestalt prayer inakuhusu wewe.
Anahitaji apewe darasa la kukubali pasipokubaliana na EMT
Naamini nameless girl hamjui EMT vizuri.
Hata mimi nilidhani hivyo siku nyingi sana.
At least unaweza kujifunza kitu toka kwake.
Hivi bado unanichukia?
Acha kuchekelea mawazo ya mtu....
Mawazo yako wewe yako wapi?
Unahitaji darasa la kukubali hujui
Kuna kitu unakosa kichwani
Mimi sio mtumwa wa kufuata mawazo ya mtu kama wewe...
Acha kufuata mikumbo...
Toa hoja watu waendelee kujifunza zaidi.
Unaijua Gestalt prayer wewe? Au ushai-google tayari?
Huu ni udikteta wa fikra
Haya, Mgunduziforeva na nameless girl hebu njooni mumsome lawyer mwenzenu....
Yangu ni complicated, nimependa kujua yako ambayo ni uncomplicated.
Acha kuchekelea mawazo ya mtu....
Mawazo yako wewe yako wapi?
Huu ni udikteta wa fikra