Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mleta uzi nafkiri ana certificate chuo cha cookery ambacho hakijasajiliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...haha, haya mheshimiwa, nafikiri hata mleta uziipo siku atahitaji pro bono serviceChagga si wakili njaa nakujua sana we unashinda CMA kutafuta wateja hata wa probono
...Eng, nowadays maghorofa yanaanguka tu, what should we call you?.
..well spoken, hata kwa mawakili Kuna baadhi ya wanasheria siyo waaminifu Na hawana ethics, so Ni jukumu la mteja kuhakikisha kuwa unayempa kazi yupo smartMaghorofa yanaanguka kwa sababu nchi imeshindwa kukamata watu wanaojiita ma-injinia wakati si ma-injinia.
Nenda kwenye kampuni za hapa nchini uone bosi au supervisor wa engineer ni nani?
Utakuta mtu ana Bachelor of arts anawekwa kumsiamia engineer na anatoa instructions za kitaaluma. Engineer akikataa kwamba haziendani na taaluma anafukuzwa kazi.
Kama hamkujikita huko, mtalaumu engineers wakati hamuendi kukagua makazini wanaoitwa engineers ni kina nani.
Hii maanake nini kwa kiswahili!!??Kuddos to all ambulance chasing and DUI attorneys in the US