Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria

Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria

mie huwa nashindwa kuelewa kwann baadhi ya memba humu ndani huona uanasheria, udaktari ndio fani pekee............
ukweli najivunia kuwa mwl manake kwa kuwa hivi naweza kujua fani za baadhi ya memba wengi tu humu na kujua uwezo wa kuelewa mambo katika fani zao.
nafikiri huyu nameless girl ni miongoni mwa wale wanaodhani kuwa msomi ni lazima uwe umesoma sheria.
hebu mwel;eze kwamba EMT si tu kwamba anaijua sheria bali anafundisha sheria.

acha kufikiria hayo, kila proffesion ina umuhimu wake kuliko nyingine ama kwa maana nyingine tunategemeana. Mimi siwezi kua mwanasheria bila mwalimu nae mwalimu anaweza asifuzu masomo yake bila msaada wa doctor pale anapoumwa nk nk.
Proffession huendana na mtu, mimi siwez kusomea uhasibu sababu hesabu sijui vivyo hivyo mwingine hawezi kusomea sheria kwasababu its all about kusoma kila siku. So sikumaanisha kwamba wanasheria ndio wasomi bali ni fani inayochukuliwa na watu ambao wako willing kusomea na si kukurupuka.
 
Last edited by a moderator:
mie huwa nashindwa kuelewa kwann baadhi ya memba humu ndani huona uanasheria, udaktari ndio fani pekee............
ukweli najivunia kuwa mwl manake kwa kuwa hivi naweza kujua fani za baadhi ya memba wengi tu humu na kujua uwezo wa kuelewa mambo katika fani zao.
nafikiri huyu nameless girl ni miongoni mwa wale wanaodhani kuwa msomi ni lazima uwe umesoma sheria.
hebu mwel;eze kwamba EMT si tu kwamba anaijua sheria bali anafundisha sheria.

Mie humu maswala ya EMT hayanihusu. Hapa tunakutana kama members na si mwalimu wa sheria ama mwanafunzi. Thread iko wazi, haiongelei maswala ya kumdiscuss mtu.
 
Last edited by a moderator:
We ndo unanjaa, co ulikwepa kuitwa mwanasheria njaa bal ugumu wa ki2 chenyewe
 
I discovered something in here, there are some people who wanted 2 study law but they couldn't!! That's Y wapo "jukwaa la sheria" ili na wao wajione wanafahamufahamu vitu concerning law and advocacy! Pole sana!
Its an honor 2 be studying law, n kama una hamu, basi chukua japo kadiploma in law

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We ndo unanjaa, co ulikwepa kuitwa mwanasheria njaa bal ugumu wa ki2 chenyewe
Sijui lini watu watafunguka Na kupambanua hoja, maoni, rai au maelezo.. Tumekuwa wa kichanganya changanya vitu pasipo mpangolio.. Anyway I love mathematics I love engineering it is about visible fact sio maneno maneno..!
.
R.I.P Madiba
"We shall not allow Fear to stand before our Way" Mandela
 
Bwa! ha! ha! ha! Si afadhali hata ningekosa hiyo admission ya kusoma sheria maana huenda hata ningekuwa admitted kusomea ualimu. Mwenzio hata form five sijafika.

Mi ni mbeba maboksi tu. Sina chuki na hao wasomi.

ooh kumbee!!.sasa naelewa kwanini unapenda kuji-show off kuwa wewe unakijua kizungu.mara kadhaa nimeshuhudia uki-bold neno au sentensi ya kingereza ktk post ya mtu kuonyesha makosa.kumbe wewe ni O-Level "uliyebahatika" kujua lugha ya kigeni!!.basi sawa,tuendelelee na mnakasha.nilichepuka tuu kidogo,mtaa huu sio mkaaji.teh teh teh.♬♪
 
wewe si wakulaumiwa ila walaumiwe wanasheria walio kupatia na wewe haki ya kujieleza kwani walijua wenye madudu vichwani kama ninyi mmeshakwisha kumbe umebaki wewe tu, haina shida watakuvumilia.ngoja nifikiri njia ya kukusaidia mtanzania mwenzangu...ok nimeipata njia ya kitoto kulingana na upeo wako, haya twende, no law no justice, no justice no peace, no peace no state, no state no you. bado hujaelewa? subiri utaelewa ukifika magereza kwani nacho ni chuo cha mafunzo.
 
Nyani

Nyani Ngabu Dont be like Peter. U pretend to be not a lawyer whilst u know in ur heart that ur. Unapata faida gani bro? Au unataka uonekane upo deep kwenye mambo ya sheria kuliko wanasheria wenyewe?
 
Dont be like Peter. U pretend to be not a lawyer whilst u know in ur heart that ur. Unapata faida gani bro? Au unataka uonekane upo deep kwenye mambo ya sheria kuliko wanasheria wenyewe?
Nani huyo tenaaaaaa???
 
Nchi hii ina Rundo la Vituko, Kubwa zaidi ni kuzidi kuongezeka Kwa Wanasheria njaa, waganga matumbo, walafi wa kila kitu Kwenye Fani hii Muhimu sana.

Mimi nilikwepa sana kusomea Sheria ili kuepuka Na Aibu ya kuitwa mwanasheria njaa. Mtu ambaye anajikunja kutetea Uongo uaminike ni kweli. Ni jambo la fedheha Na aibu sana.

Taaluma ya Sheria inamtaka mwanasheria kuchambua vinasaba vya sintofaham Na maswali Ndani ya jamii Na kutengeneza mnyororo mmoja wa Kweli ambao utakaa hapo hata kizazi Cha kesho Na keshokutwa.

Kama mteja akija kwako kaua Mtu Na kuna Kesi inamwandama. Anakuelezea alivyomuua, Mfano anakwambia nilikuwa namdai nilipomfuata alinijibu kunya ndipo nilipomvamia mapigo mawili matatu kumbe yakampeleka akhera. Mwanasheria mweledi anaangalia shauri la mteja wake Na kutengeneza mustakabali wa utetezi kwamba ni Kweli uliua lakini hukukusudia (pseudologoi eneo la Androktasiai "man slaughters") Na Kwenye uteteZi wake ataegea hapo.

Au Mfano Jambazi kavamia nyumba ya Mtu, akamnyuka risasi au mapanga Na kumuua raia. Mteja Kama huyu naye akienda Kwa Mwanasheria Na kueleza kisa Chake Mwanasheria mwerevu atalitambua shauri Lake Pseudologia lakini kipengele Cha phonoi "Murders" Kesi ya Mauaji Na ataisidia mahakama kuweka rekodi vizuri ili mteja wake apatiwe haki inayomstahili Kama ni kunyongwa Basi ale kitanzi Na Kama ni maisha Basi anapatiwa haki yake..

Nisikilizie Sasa 'Phonoi' au ''androktasiai' zimkute Mwanasheria NJAA..! Yeye hajui chochote zaidi ya kumtetea mteja wake "HAJAUA..! HAJAUA..! Hana Hatia!!'" ni ujinga, Aibu Na njaa iliyopitiliza. Hilo jambazi unalolitetea likitoka jela linakuja kukuvamia wewe wewe ..!

Tuongelee Gulargate and Children Kidnapping Law. Kuna aina tele Za ubakaji lakini mbaya zaidi ni gulargate. Unampa Mtoto kitu kidogo unamtenza nguvu maskini huyo. Ni Kama aina ya makubaliano lakini Mtoto 18years under Bado hajapevuka kujua mapenzi, madhara Na weledi Wa tendo lenyewe. Na zaidi ya yote hawezi Kuwa mshiriki Bali mshirikishwaji.. Katika unazi mkubwa Wa Kuwekea kingo sheria hii, mwanafalsafa mmoja mkongwe akasema unaruhusiwa kutembea Na Mtoto "in some cases factor" iwapo utamtongoza Na kufanya makubaliano kupitia Kwa Wazazi wake. Eti unamtaka halima 17years, unamtongoza baba Yake akuruhusu utembee Na Bint Yake. Lakini ilifanya Kazi Kwa wanazi kadhaa Wa mashariki ya Kati lakini sio kutembea Bali kuoa.! Mpaka ilipoondolewa Baada ya kujitambua Kwamba Mtu ni Mali ya Taifa sio familia. Ukitaka Kuoa miaka 18 nenda Serikali ikuruhusu kwanza.

Inapotokea milionea kabaka wanasheria Njaa badala ya kumwongoza Kwenye Haki wanatunisha misuli kumtetea.."HAJABAKAAAA.." Na hela zake wanakula Kweli nakwambia malipo ni hapa hapa ukirudi nyumbani mwanao weshamtenda utaona uchungu wake. Embu njaa zetu zisitufanye tujikojolee mbele ya kadamnasi. Mwanasheria kamili lazima ujivunie Kuwa Mwanasheria.. Weka kila kitu hadharani.. Haki apewe Mwenye Hali Yake.

Tunaweza Kuwa Na kumbukumbu Kwamba kipindi flani billionea mmoja Wa Marekani Mwenye Mtoto mmoja pekee Na mrithi Wa Mali zake alipata kashfa ya mauaji. Aliua Kwa bastola kijana mwingine mwafrica. Billionea huyu alihaha kutumia zaidi ya nusu ya fedha zake kuajiri mawakili nguli marekani, Hispania Na PNG.. Kuokoa jahazi mwanae asifungwe.. Malipo makubwa sana walipokea Na wakamsaidia sana billionea huyo Kwenye njia ya Sheria Na Mpaka Leo Mtoto alishafungwa miaka tele gerezani. Mawakili wanaojua uwakili ni Nini ..

Mkuu mimi nimekuelewa sana, Tena ungeweka kichwa cha mada, wanasheria matapeli Bongo.
Hio uzi ingekaa vizuri zaidi. Hapa Bongo usiombe kupatwa na kesi za mahakamani, kwasababu usipokua makini na wanasheria, watakutapeli na kukuacha kesi yako kama ilivyo. Na vile vile kuna vishoka ambao hawajaenda law school lakini utawakuta wapo mahakamani wakipiga dili za kutafuta kesi za watu na kuwadanganya hao watu ni wanasheria. Naongea ukweli kwasababu nime shuhudia laivu mambo hayo.
Ushauri wangu kwa watu, unapotafuta mwanasheria fanya uchunguzi kwanza sifa zake zipo vipi?? na usikubali kuingia mkataba wa kichwa kichwa na wanasheria bila kuangalia na wewe unanufaika vipi na kesi yako, Kwasababu utaliwa pesa zako na watakukimbia. hawana aibu hawa watu.
 
hapo kwenye red, ni vigumu sana kuelewa nilichoongea kama wewe sio mwanasheria, hapo ulipo unaweza kufikiri unao uwezo au unajua kitu kumbe haujui na hautakuja kujua ninachoongea hadi uwe mwanasheria.

Ni kipi atashindwa kukielewa. Eleza tuone akishindwa si ni juu yake, wewe tatizo lako ni nini!!!
 
Mkuu mimi nimekuelewa sana, Tena ungeweka kichwa cha mada, wanasheria matapeli Bongo.
Hio uzi ingekaa vizuri zaidi. Hapa Bongo usiombe kupatwa na kesi za mahakamani, kwasababu usipokua makini na wanasheria, watakutapeli na kukuacha kesi yako kama ilivyo. Na vile vile kuna vishoka ambao hawajaenda law school lakini utawakuta wapo mahakamani wakipiga dili za kutafuta kesi za watu na kuwadanganya hao watu ni wanasheria. Naongea ukweli kwasababu nime shuhudia laivu mambo hayo.
Ushauri wangu kwa watu, unapotafuta mwanasheria fanya uchunguzi kwanza sifa zake zipo vipi?? na usikubali kuingia mkataba wa kichwa kichwa na wanasheria bila kuangalia na wewe unanufaika vipi na kesi yako, Kwasababu utaliwa pesa zako na watakukimbia. hawana aibu hawa watu.

Wakuu mko sahihi kabisa.
 
Jamaa kapagawa baada ya kuleftishwa UDOM na Magu na kuitwa 'kilaZa"
 
In JF huwezi kukuta forums ya msaada wa ujenzi wa nyumba, barabara au something alike, but LAW, fikiri mara mbili, Sheria haiko hivyo bro, LAW was there even before the operation of anything on this earth.
 
Back
Top Bottom