Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria

Mleta uzi nafkiri ana certificate chuo cha cookery ambacho hakijasajiliwa
 
...mnatuita mawakili njaa, lakini ndiyo sisi leo hii tupo hapa JF kuwasaidia watu bure, japokuwa tumetumi muda gharama nyingi sana kupata hii profession, omba Mungu yasikukute maana utakuja hapa kuomba radhi.
 
...Eng, nowadays maghorofa yanaanguka tu, what should we call you?.

Maghorofa yanaanguka kwa sababu nchi imeshindwa kukamata watu wanaojiita ma-injinia wakati si ma-injinia.

Nenda kwenye kampuni za hapa nchini uone bosi au supervisor wa engineer ni nani?

Utakuta mtu ana Bachelor of arts anawekwa kumsiamia engineer na anatoa instructions za kitaaluma. Engineer akikataa kwamba haziendani na taaluma anafukuzwa kazi.

Kama hamkujikita huko, mtalaumu engineers wakati hamuendi kukagua makazini wanaoitwa engineers ni kina nani.
 
..well spoken, hata kwa mawakili Kuna baadhi ya wanasheria siyo waaminifu Na hawana ethics, so Ni jukumu la mteja kuhakikisha kuwa unayempa kazi yupo smart
 
Back
Top Bottom