Hahaha kama learned nameless girl anaweza kututengenezea ka "contract" kwa maana ya tafsiri ya wasomi wa sheria.... Why not?
Usisahau ualimu sio proffesion, usije ukataka nikufundishe kufunga socket ya three switches lol
Here comes another learned brother. Nashauri utumie kiswahili ili sisi ambao si wasomi tukuelewe. Mathalani hapo ulipoandika "he don't know".... kwa umburula wangu ulonifanya nikaishia VETA na kumzidi kielimu comrade Nyani Ngabu, nlishakariri eti ulipaswa uandike "he doesn't know"
Wasomi mtuhurumie ambao hatujaenda shule. Tumieni lugha ya taifa tuwaelewe.
Ngoja nikazimue zangu mi fundi mchundo.
Wakuu Mgunduziforeva na nameless girl,
Kama kweli nyie ni wanasheria ambao napaswa kuwahitaji kunitetea, inakuwaje form four mbeba maboksi Nyani Ngabu anawashinda kwa hoja ndogo namna hii? Nitawaaminije kwenye cases zinazohitaji hoja kubwa kama hii ndogo mnashindwa kujibu na mapovu yanawatoka.
Wakati nawaacheni mmalizane na Ngabu mi nina kaswali ka kizushi.... Kwanini nyie lawyers mnapenda kujiita "wasomi"??? Taaluma yenu pekee ndo ina watu walioqualify kuitwa wasomi?
Tahadhari, tofauti na Ngabu aliyeishia kidato cha nne, mi baada ya kidato cha nne nlifanikiwa kusomea ufundi umeme, namiliki cheti cha VETA.
umeona eeeh wanakimbilia kwenye kingereza kwa madai layman hatuwezi kuelewa
Hivi ni kweli wanasheria watu wanatengeneza Contracts ? ama wana google templates na ku-edit kukidhi haja ya mteja ? Serious wanasheria wetu ni wazuri sana kwa Ku-kudesa toka Google results
Acha kushadidia mambo usiyoyafahamu,hiyo hoja ya Nyani Ngabu aliyotushinda iko wapi? Siwezi kuendelea kubishana na Nyani kwa sababu nimeshamfahamu ni mtu wa aina gani.
Lawyer's stock in trade is TIME and ADVICE. So I can't waste my precious time arguing with an imbecile like him. He is not only an ignorant but also a fool.
Hivi ni kweli wanasheria watu wanatengeneza Contracts ? ama wana google templates na ku-edit kukidhi haja ya mteja ? Serious wanasheria wetu ni wazuri sana kwa Ku-kudesa toka Google results
umeona eeeh wanakimbilia kwenye kingereza kwa madai layman hatuwezi kuelewa
Hili ni jukwaa la sheria ,hivyo sioni umuhimu wa wewe ambaye sio mwanasheria kuja kushadidia mada ambazo hauzifahamu. Makosa madogo madogo ya lugha ni kawaida sana. Hata hao wenye lugha zao wanafanya hayo makosa. Kwa mfano mimi sio Muingereza na kiingereza ni lugha yangu ya pili,tena nimeanza kujifunza nikiwa darasa la tatu,hivyo sijisikii vibaya katu mtu akikosoa matumizi yangu ya lugha hiyo. Kwa muungwana kukosolewa kunajenga na wala hakubomoi.
Kwahiyo kama si mwanasheria sipaswi kuja jukwaa la sheria. Kwahiyo we mwanasheria pia hupaswi kuingia jukwaa la madaktari, right?
Kaka msomi punguza jazba. Kama screen unaitolea povu namna hii, ukikutana naye si utamjambia kabisa?
Hili ni jukwaa la sheria ,hivyo sioni umuhimu wa wewe ambaye sio mwanasheria kuja kushadidia mada ambazo hauzifahamu. Makosa madogo madogo ya lugha ni kawaida sana. Hata hao wenye lugha zao wanafanya hayo makosa. Kwa mfano mimi sio Muingereza na kiingereza ni lugha yangu ya pili,tena nimeanza kujifunza nikiwa darasa la tatu,hivyo sijisikii vibaya katu mtu akikosoa matumizi yangu ya lugha hiyo. Kwa muungwana kukosolewa kunajenga na wala hakubomoi.
hahahah angalia utafukuzwa kwenye jukwaa lao
mwenzangu ngoja ninyamaze
Usikae kimya, twende MMU tukatongozane.
kwa hiyo kwenye jukwaa la sheria haruhusiwi mtu wa kawaida kusema chochote?kama wewe ni mwanasheria basi unatakiwa utusaidie sie ambao hatujui hiyo sheria kuielewa na si kusema tusishadadie mambo ambayo siyaelewi na nijuavyo mimi hakuna aliezaliwa anajua
poa ngoja nije huko
Marhabaa mjukuu mwema,
Hebu twenzetu PM tusiwadistabu wasomi hapa.