Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
TLS ni professional body ya wanasheria sio kituo Cha kutoa msaada wa kisheria kwa maana ya msaada.
Nadhani Kuna vyama vya wanasheria vinavyotoa msaada wa kisheria ikiwemo kuwakilishwa mahakamani Kama LHRC, TAWLA, WILAC nk.
TLS inaweza kutoa tamko tu na sio representation tufike pahala basi tuelewe .
Hata hivyo TLS wanaweza kupinga sheria fulani mahakamani Ila sio kumtetea mtu. Hosea mwenyewe jitu la system pia msitarajie jambo jipya kwamba anaweza hata kujiongeza.
Yani mtu alikuwa boss wa PCCB toka inaanzishwa alikuwa yeye mnatarajia nini? We are middle fingered 🤷