Wanasheria, TLS na Wanaharakati ingilieni kesi ya Mbowe na wenzake ili haki itendeke

TLS ni professional body ya wanasheria sio kituo Cha kutoa msaada wa kisheria kwa maana ya msaada.

Nadhani Kuna vyama vya wanasheria vinavyotoa msaada wa kisheria ikiwemo kuwakilishwa mahakamani Kama LHRC, TAWLA, WILAC nk.

TLS inaweza kutoa tamko tu na sio representation tufike pahala basi tuelewe .

Hata hivyo TLS wanaweza kupinga sheria fulani mahakamani Ila sio kumtetea mtu. Hosea mwenyewe jitu la system pia msitarajie jambo jipya kwamba anaweza hata kujiongeza.

Yani mtu alikuwa boss wa PCCB toka inaanzishwa alikuwa yeye mnatarajia nini? We are middle fingered 🤷
 
1. Wao wamemtetea Mbowe, wewe watetee hao wengine wanaoteseka magerezani
2. Watetee watanzania wengine achana na Mbowe huyo anatetewa na wengine
 
Mleta mada Tanzania ina msaafu wake wenyewe utakuwa mwansiasa gani ujui dini ya nchi yako, Mbowe yupo sehemu salama kabisa katika muhimili unaojitegemea yaani mahakama sasa unaposema wanaharakati na hao wanasharia sijui wapitie wapi?
Vumilia Mbowe mwenyewe anajua umuhimu wa muhimili huo ndiyo maana unamuona pale mahakamani katulia anaelewa maana ya pilato vumilia.
 
Ungeuisoma vizuri Post ungeelewa ninachohitaji, hakuna sehemu niliposema TLS itoe msaada wa kisheria.
 
Soma mada uielewe kisha andika, ninachozungumzia ni jinsi kesi inavyokwenda kwa matakwa ya upande wa mashitaka, yaani leo ipo kesho haipo!
 
Kama haujaelewa kilichoandikwa usijibu, liache lipite.
 
Kwani haki haitendeki?

Mbona kila siku mnasema Kibatala kawafunda mashahidi wa serikari?

Kwa hiyo hayao mnayoandika kumbe ni uongo?

Upo sahihi, shida uwezo wako wa kuelewa Na maisha ya kijijini!
 
Jopo la Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake ni Mawakili na ni Wanachama wa TLS. Unamtaka nani tena aingilie kati?
 
Kwani haki haitendeki?

Mbona kila siku mnasema Kibatala kawafunda mashahidi wa serikari?

Kwa hiyo hayao mnayoandika kumbe ni uongo?
Mwalimu wako alikuwa na kazi sana, kweli ualimu ni wito.
 
Jopo la Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake ni Mawakili na ni Wanachama wa TLS. Unamtaka nani tena aingilie kati?
Unaongelea mawakili gani, mawakili wa upande wa utetezi wanalalamika sana kuhusu hao wasanii wagonjwa, inaelekea haufuatilii mwenendo wa kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…