Wanasheria tupeni uchambuzi kesi ya Sabaya

Wanasheria tupeni uchambuzi kesi ya Sabaya

Inaonyesha kuwa kwenye fani ya sheria kuna mawakili wasomi na makanjanja?...

Njia gani inatumika kuwabaini hawa... [emoji848]
Mkuu matumizi ya neno mwanasheria msomi baina ya wanasheria hayana maana kua kuna wanasheria wasio wasomi. Hii ni namna tu ya kutambua weledi wa mwenzako katika taaluma.
 
Kwahyo ukisoma rucu pale iringa miaka yako mitatu minne ushakuwa mwanasheria msomi, Farao mkubwa fara
Rucu iringa;
sheria ni miaka 4 bado law school,
Wanavosema mwanasheria msomi wana maanisha unaitendeaje kiufanisi fani hyo ya sheria
 
Ana kesi nyingi kwa hiyo wanataka waimalize hii waanze na zingine hapo bado kesi za huko Hai bado zinamsubiri...
Kwahiyo kesi hiyo ya utumiaji silaha na zile nyengine hazijajumuishwa hapo?
 
Kesi iko wazi mno na haina complications za kisheria.. Mtuhumiwa no 1 kaanza kujitetea kwa kutaja high profile figures kea majina na vyeo vyao, kimsingi ni kama kawataja kama washirika wake!
Kama mahakama isipopuuza huu utetezi watajwa wataitwa mbele ya mahakama kuthibitisha ama kukanusha kwamba alitumwa na kayafa nao walikuwa na taarifa kamili...tena wafanye hivyo kwa ushahidi kamili hasa kama watakanusha
Ndiyo hicho anachouliza mtoa uzi.Yaani sasa hivi siyo kama zamani watalam wetu wa sheria (ambao ni waandishi )walikuwa wana-summarise mwenendo wa kesi na kutujulisha.

Kama ulivyojaribu kuelezea hapo juu kidogo
 
Kwa akili yako jinsi inavyokutuma, kuna ‘mwanasheria’ asiye ‘msomi’? , nauliza tu...
Wanasheria wapo wengi wamemaliza vyuo Ila sisi huku mtaani tunaona wanasheria wasomi ni wachache.Hao wengine walienda chuo kutafuta vyeti tuu
 
Kwa namna kesi ya jambazi sabaya inakoelekea,inafanya kesi ya gaidi mbowe kutosikika kabisa.

Lakini nyumbu waendelee kushangilia jambazi akijitetea maana ndio furaha waliyobaki nayo,huku bibie akendelea kuipiga mbungi ya kujaza nusu uwanja.
CCM mmefikia hatua ya "kuringia" kesi ya kada mwenzenu.
 
Wanasheria wapo wengi wamemaliza vyuo Ila sisi huku mtaani tunaona wanasheria wasomi ni wachache.Hao wengine walienda chuo kutafuta vyeti tuu
Kwahiyo ‘amesoma’ chuo hadi akamaliza, alafu sio ‘msomi’?
 
Kwahiyo ‘amesoma’ chuo hadi akamaliza, alafu sio ‘msomi’?
Ndiyo,hao wapo wengi sana.wana mpaka first class lakini siyo wasomi ila wamededesa hiv,wengine wamepata degree zao kwa kuandikiwa researchs zao,.hao nao utawaita wasomi kweli? hujawahi sikiaga degree za "chupi" wewe.hao nao unawaita wasomi,wamesoma nini.
 
Clouds kwann wasifungue kesi dhidi ya paulo bashite huyu yeye alimpiga mlinz wa getin na akaingia na bunduk ndan na ushahid wa cctv uko waz Ni kwann asishtakiwe ili iwe funzo kwa wengne
 
Back
Top Bottom