900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
kwani mzee wewe unataka uonevu uendeleeHakuna cha Makala kuwa na sababu zake. Uzuri Lissu na Chadema wameshasema. Uonevu sasa baaasi!!!
Watu na urundi wao wanataka kutuletea mambo ya Burundi hapa Tanzania??? Hapana!!!
hataenguliwa na bado mtaendelea kula vitasa tu hakuna namnaNi hakika itakuwa hivyo.
Nitafurahi akienguliwa.
automatically nullifiedKuna Jambo lingine pia la kuliangalia,
Nini hatma ya kesi zake zilizojaa mahakamani kwa mfano akashinda.
Ndio tuseme kuwa ataamrisha mahakama izifute ??
Wewe unatumika siyo bure!
Waache kumuengua anayegawa rushwa hadharani waje wamuengue Lissu?
Hakuna ushindi wa mezani hapa, kila kura lazima ipiganiwe!
Mods this is a malicious thread iondolewe
Huyu anataka kuset tune kwa watawala wafanye udhalimu kama alivyoset tune Kabendera akapata matatizo
Naomba hii mada ya kichawi iondolewe hapa!
Wakimuengua na Membe utaenda kwa naniCcm wanachekesha sana, kama lisu wakimzuia kugombea niitaongeza hasira kwa wananchi natutaenda na "KAZI NA BATA"
Kama mpaka sasa hawajajifunza namatokea ya kuiua CUF basi mtakua nisikio lakufa
Ndio maana wameanza kudhibiti mijadala na foreign mediaNina wasiwasi watamzuia kugombea! Labd foreign forces ziwashinikize kutenda haki!
Hata kabla ya kushambuliwa alisema kuwa anafuatiliwa, cha ajabu nini akisema leo anatishiwa.CCM wakifanya hivo nitawadharau Sana. Approach waliyoichagua ya kupiga kimya ime work out. Lissu ni Kama anafukuza upepo kila anachojaribu kinabuma, Watanganyika ni Kama hawamuoni na unaweza kuona yeye na wafuasi wake wameanza kupaniki, hawapati response waliyotegemea Sasa wanaanza kutumia nguvu kubwa ikiwemo hata humu.
Isipokuwa tu Serikali inapaswa kuwa makini baada ya watu kuonekana kutokumtilia manani anaweza kufanya chochote kibaya ili mradi kutafuta millage na huruma. Jana alisema anatishiwa, wenye akili wanajua what he is going to do next!
Nadhani ungemsaidia kisheria kama kichwa cha habari kinavyojionyesha kuliko kum'attack'. Si rahisi kumuelewa Paskal.Sidhani kama kuna wanasheria genuine wanaweza kufanya reasoning hii ya namna yako. Hii ni reasoning ya watu waliosomea sheria bila kujua sheria.
Na kama hilo unalolisema, wote wangekuwa na low reasoning kama hii uliyoileta, nchi nyingi za Kiafrika, wapinzani wangekuwa wanaenguliwa tu. Hawa viongozi wetu wahodhi madaraka wangekuwa wanawatuhumu tu watu, kisha unaondolewa kuwa mgombea.
This very low Pascal. You deserve better than this.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na Hilo la kupigwa risasi hoja nyingine inayomfanya apambane ni kufutiwa kesi.automatically nullified