Wanasheria wa CCM sasa ni wakati wa kuwashitaki watu wanachafua haiba ya chama chenu

Kupeleka kesi mahakamani siyo lazima wawe wanasheria wa CCM peke yao. Wewe kama mwananchi na umekereka, chukua hatua. Zaidi ya hapo ni uchawa na umekosa cha kuandika.
 
Hebu nitajie mwanasheria wa ccm maana zijawahi wasikia
 
Ukin'gatwa na mbwa unamshitaki mbwa au mwenye mbwa?
 
Police ni ccm,Mama ni ccm na ndiye Rais na Amir Jeshi Mkuu,ulitaka wasemeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…