Fortunatus Buyobe
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 463
- 1,127
CHADEMA wana wanasheria makini kama Tundu Lissu,Marando,prof. Safari,Kibatara,Kichere,Kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk.
Mawakili hawa wamewatetea kwa weledi makada na viongozi wao dhidi kesi hizo nyingi zikiwa za kubabikizwa.
Swali: je, mawakili hawa kwa nini wasijitoe mstari wa mbele kuutetea umma dhidi ya kesi kama UDA,mabilioni uswis nk?
Kwa nini wanashindwa kutumia taaluma zao kuutetea umma ili tuwakabidhi kweli nchi kama wakombozi wa taifa?
Naomba majibu from material subject above na sio majibu ya kikadakada kwani hata mimi kama mpenda mabadiliko my right to ask questions is reserved.