Wanasheria wa CHADEMA wana uchungu na taifa letu?

Fortunatus Buyobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
463
Reaction score
1,127
CHADEMA wana wanasheria makini kama Tundu Lissu,Marando,prof. Safari,Kibatara,Kichere,Kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk.

Mawakili hawa wamewatetea kwa weledi makada na viongozi wao dhidi kesi hizo nyingi zikiwa za kubabikizwa.

Swali: je, mawakili hawa kwa nini wasijitoe mstari wa mbele kuutetea umma dhidi ya kesi kama UDA,mabilioni uswis nk?

Kwa nini wanashindwa kutumia taaluma zao kuutetea umma ili tuwakabidhi kweli nchi kama wakombozi wa taifa?

Naomba majibu from material subject above na sio majibu ya kikadakada kwani hata mimi kama mpenda mabadiliko my right to ask questions is reserved.
 
Jaribu kufanya uchunguzi kabla kuandika....hizo kesi karibu zote washtaki ni serikali....hao kina marando etc wanatetea washtakiwa kulingana na makubaliano flani ambayo inaweza kuwa kutetea chama kama ilivyo kwa chadema au malipo ambayo ndio kazi yao ya uwakili kwa watuhumiwa wengine.....wao ni mawakili wa utetezi hawawezi kwenda kuwa upande wa serikali bila kuombwa maana serikali ina mawakili wake wa kuendesha mashtaka.

Nategemea maelezo haya yamekusaidia pa kuanzia....kwa maelezo zaidi subiri wanasheria wakujibu
 
Chadema wana wanasheria makini kama Tundu lissu,Marando,prof.safari,kibatara,kichere,kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk. Mawakili hawa wamewatetea kwa weledi makada na viongozi wao dhidi kesi hizo nyingi zikiwa za kubabikizwa.
Swali: je, mawakili hawa kwa nini wasijitoe mstari wa mbele kuutetea umma dhidi ya kesi kama UDA,mabilioni uswis nk? Kwa nini wanashindwa kutumia taaluma zao kuutetea umma ili tuwakabidhi kweli nchi kama wakombozi wa taifa?

Kabla sijachangia kwenye mada matata hii naomba nikuulize maswali.
1. Ni lini umeanza kuwafahamu nguli hawa wa sheria
2. Unadhani kwa nini wakati huu ndio wameonekana kuwa ni wanasheria makini?
3. Unadhani kazi hizi wanazofanya incentives zake ni nini? wajua kwa nini wanafanya kazi kama timu?

Nitarudi
 
Chadema wana wanasheria makini kama Tundu lissu,Marando,prof.safari,kibatara,kichere,kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk. Mawakili hawa wamewatetea kwa weledi makada na viongozi wao dhidi kesi hizo nyingi zikiwa za kubabikizwa.
Swali: je, mawakili hawa kwa nini wasijitoe mstari wa mbele kuutetea umma dhidi ya kesi kama UDA,mabilioni uswis nk? Kwa nini wanashindwa kutumia taaluma zao kuutetea umma ili tuwakabidhi kweli nchi kama wakombozi wa taifa?
Naomba majibu from material subject above na sio majibu ya kikadakada kwani hata mimi kama mpenda mabadiliko my right to ask questions is reserved.
Chadema wana wanasheria makini kama Tundu lissu,Marando,prof.safari,kibatara,kichere,kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk. Mawakili hawa wamewatetea kwa weledi makada na viongozi wao dhidi kesi hizo nyingi zikiwa za kubabikizwa.
Swali: je, mawakili hawa kwa nini wasijitoe mstari wa mbele kuutetea umma dhidi ya kesi kama UDA,mabilioni uswis nk? Kwa nini wanashindwa kutumia taaluma zao kuutetea umma ili tuwakabidhi kweli nchi kama wakombozi wa taifa?
Naomba majibu from material subject above na sio majibu ya kikadakada kwani hata mimi kama mpenda mabadiliko my right to ask questions is reserved.

Tena nikukatishe tamaa kabisa kwa kukupa habari sahihi.Kwa taarifa sahihi ambayo itakuumiza ni kwamba CHADEMA ina wanasheria wengi zaidi ya hao tena vijana wadogo kuna akina Esther Daffi,Hekima Mwasipu,Mdeme na mentor wao kibao.

Sasa hii hoja ya ajabu ajabu kama hii haistahili kutolewa ikiwa unajua maana ya accountability.Badala ya kujiuliza tumefikaje hapa,sasa we are trying to evade responsibilities.Really?Chadema si watawala.

Jifunze kuelekeza hasira zako sehemu sahihi

Fanya research.Kusema kweli hoja hii haina umaarufu wa kitaaluma.I dont feel the intellectual vibrancy.Ina sifa zote za kufilisika
 
Swali kwa mleta mada, unawatambua wanasheria wanaopaswa kusimama kwa niaba ya serikali?
 
Kaiulize serikali kwanini inashindwa kuajili watu makini kama hao nakung'ang'ania vilaza
 
Mara nyingi serikali hupendelea kuweka mawakili wadhaifu ili ipoteze kesi kwa vile yenyewe pia ni mdau wa wakosaji na viongozi wengi ndiyo wanaofanikisha uhalifu wa makampuni "yanayolalamikiwa".
Hata kesi zenyewe hupelekwa mahakamani kisanii tu; kwa hiyo mawakili makini kama uliowataja kamwe hawashirikishwi. Kuna mjinga wa kujichoma kisu mwenyewe?
 
Fanya utafiti binafsi kabla ya kupost, je unajua utaratibu wa namna ya kuendesha kesi zinazoihusisha serikali? Soma sheria zifuatazo: Government Proceedings Act 1967, National Prosecution Act 2008, Attorney General (Dicharge dicharge of Duties) Act. Licha ya mawakili binafsi kutoruhusiwa kutoa ushauri wa kisheria isipokuwa pale ambapo A.G ataona kuna umuhimu, kama ckosei Tundu Lissu alishawahi kushiriki kwenye jopo la mawakili nje ya nchi kwenye kesi ya City Water na kushinda, Kimomogoro alikua m/sheria wa TANAPA akaondoka kwa kukataa ufisadi. Sema lingine
 
Mtoa mada sijui uko kwenye steji gani ya mwezi,hizo kesi si za umma?sasa jiulize kwann serikali yako ya ccm haizitetei?-jibu ni simple tu huwezi jishtaki mwenyewe ukashindwa(kesi zote za uhujumu uchumi ni za viongozi papa wa chichiemu)kama umeshindwa kulifikiria hili basi wewe upeo wako wakufikiria inaniwia vigumu kuamini kama wakati unaandika ulitumia kichwa au akili

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jaribu kufanya uchunguzi kabla kuandika....hizo kesi karibu zote washtaki ni serikali....hao kina marando etc wanatetea washtakiwa kulingana na makubaliano flani ambayo inaweza kuwa kutetea chama kama ilivyo kwa chadema au malipo ambayo ndio kazi yao ya uwakili kwa watuhumiwa wengine.....wao ni mawakili wa utetezi hawawezi kwenda kuwa upande wa serikali bila kuombwa maana serikali ina mawakili wake wa kuendesha mashtaka.

Nategemea maelezo haya yamekusaidia pa kuanzia....kwa maelezo zaidi subiri wanasheria wakujibu

Ndugu nashukuru kwa majibu ya kiungwana lakini nadhani imeshatokea mtu binafsi kuishitaki serikali kwa manufaa ya umma mfano kesi ya katiba ya mtikila.hivi kaka hawawezi hata kumshitaki DPP kutumia vibaya madaraka kufuta kesi zinazoonekana wazi wazi ni hatia hata kabla ya maamuzi ya kimahakama.kaka kwani hujui kama idd simba aliweka pesa ya umma kwenye akunti binafsi kwenye ishu ya UDA?
 
thumbs up kwa wanasheria wa CHADEMA maana wameonyesha wanasheria wa serikali ni vilaza
 
Kwa kazi nzuri ya vijana wa Idara ya sheria Makao Makuu ya CDM ambao hata hvyo hawana haja ya publicity, ni wazi kuwa wanaiteleza maadili ya taaluma yao. CDM HQ kupitia Kurugenzi ya Sheria imekua ni moja ya legal aid clinic kwa watu wengi sana bila kujali itikadi. Niliongea na Mwasipu Hekima na Ester Daffi siku moja, usingeandika kuhoji kuhusu hili jambo
 
Swali kwa mleta mada, unawatambua wanasheria wanaopaswa kusimama kwa niaba ya serikali?

Ninawatambua ni mawakili wa serikali,lakini kama serikali haionyeshi kufanya anything tangible that is were i am crying for entervention.
 
Tena nikukatishe tamaa kabisa kwa kukupa habari sahihi.Kwa taarifa sahihi ambayo itakuumiza ni kwamba CHADEMA ina wanasheria wengi zaidi ya hao tena vijana wadogo kuna akina Esther Daffi,Hekima Mwasipu,Mdeme na mentor wao kibao.

Sasa hii hoja ya ajabu ajabu kama hii haistahili kutolewa ikiwa unajua maana ya accountability.Badala ya kujiuliza tumefikaje hapa,sasa we are trying to evade responsibilities.Really?Chadema si watawala.

Jifunze kuelekeza hasira zako sehemu sahihi

Fanya research.Kusema kweli hoja hii haina umaarufu wa kitaaluma.I dont feel the intellectual vibrancy.Ina sifa zote za kufilisika
Huyu mtoa mada itakuwa kala viroba vya zambia vinaitwa Panchi vikali hivyoooooo
 
Kwa kazi nzuri ya vijana wa Idara ya sheria Makao Makuu ya CDM ambao hata hvyo hawana haja ya publicity, ni wazi kuwa wanaiteleza maadili ya taaluma yao. CDM HQ kupitia Kurugenzi ya Sheria imekua ni moja ya legal aid clinic kwa watu wengi sana bila kujali itikadi. Niliongea na Mwasipu Hekima na Ester Daffi siku moja, usingeandika kuhoji kuhusu hili jambo

Ndiyo maana nimewaambia hawa haters wajiandae for a long battle.Idara ya sheria ina brains ambazo serikali yetu inatamani kuwa nazo.Anyways we cant blame them maana mwanasheria mkuu wa serikali anatia wasiwasi na lugha ya kiingereza maana ikiwa documents na mikataba yote ipo kwa lugha ya kiingereza lakini AG hawezi kuelewa simple vocabulary "Misconseption" maana yake ni nini,we are in a serious trouble.Fedheha tupu na suti zao ambazo hawazitendei haki professionally
 
Hata polisi wanaisupport CDM
U r a psychopath(severe) hivi hawa watu wanatoka chama gani Idd simba,Andrew chenge,Bazil Mramba?

Back
Top Bottom