Fortunatus Buyobe
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 463
- 1,127
Chadema wana wanasheria makini kama Tundu lissu,Marando,prof.safari,kibatara,kichere,kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk. Mawakili hawa wamewatetea kwa weledi makada na viongozi wao dhidi kesi hizo nyingi zikiwa za kubabikizwa.
Swali: je, mawakili hawa kwa nini wasijitoe mstari wa mbele kuutetea umma dhidi ya kesi kama UDA,mabilioni uswis nk? Kwa nini wanashindwa kutumia taaluma zao kuutetea umma ili tuwakabidhi kweli nchi kama wakombozi wa taifa?
Naomba majibu from material subject above na sio majibu ya kikadakada kwani hata mimi kama mpenda mabadiliko my right to ask questions is reserved.

Jaribu kufanya uchunguzi kabla kuandika....hizo kesi karibu zote washtaki ni serikali....hao kina marando etc wanatetea washtakiwa kulingana na makubaliano flani ambayo inaweza kuwa kutetea chama kama ilivyo kwa chadema au malipo ambayo ndio kazi yao ya uwakili kwa watuhumiwa wengine.....wao ni mawakili wa utetezi hawawezi kwenda kuwa upande wa serikali bila kuombwa maana serikali ina mawakili wake wa kuendesha mashtaka.
Nategemea maelezo haya yamekusaidia pa kuanzia....kwa maelezo zaidi subiri wanasheria wakujibu
Swali kwa mleta mada, unawatambua wanasheria wanaopaswa kusimama kwa niaba ya serikali?
Hawa mawakili ni wachumia tumbo tu
Huyu mtoa mada itakuwa kala viroba vya zambia vinaitwa Panchi vikali hivyooooooTena nikukatishe tamaa kabisa kwa kukupa habari sahihi.Kwa taarifa sahihi ambayo itakuumiza ni kwamba CHADEMA ina wanasheria wengi zaidi ya hao tena vijana wadogo kuna akina Esther Daffi,Hekima Mwasipu,Mdeme na mentor wao kibao.
Sasa hii hoja ya ajabu ajabu kama hii haistahili kutolewa ikiwa unajua maana ya accountability.Badala ya kujiuliza tumefikaje hapa,sasa we are trying to evade responsibilities.Really?Chadema si watawala.
Jifunze kuelekeza hasira zako sehemu sahihi
Fanya research.Kusema kweli hoja hii haina umaarufu wa kitaaluma.I dont feel the intellectual vibrancy.Ina sifa zote za kufilisika
Umesahau na virobaLakini sio kama wewe unaetumiwa kama tambara kwa malipo ya bk7
Kwa kazi nzuri ya vijana wa Idara ya sheria Makao Makuu ya CDM ambao hata hvyo hawana haja ya publicity, ni wazi kuwa wanaiteleza maadili ya taaluma yao. CDM HQ kupitia Kurugenzi ya Sheria imekua ni moja ya legal aid clinic kwa watu wengi sana bila kujali itikadi. Niliongea na Mwasipu Hekima na Ester Daffi siku moja, usingeandika kuhoji kuhusu hili jambo
U r a psychopath(severe) hivi hawa watu wanatoka chama gani Idd simba,Andrew chenge,Bazil Mramba?Hata polisi wanaisupport CDM