Wanasheria wa CHADEMA wana uchungu na taifa letu?

Kaka unafahamu kuwa concept ya doctrine of privity is not absolute?hasa kwenye principal and agent matters,sisi wananchi(including hawa wanasheria ninaowasema) ni third party but principal,na DPP ni agent but second party.sasa hatuwezi kuirob kesi kutoka jinai kuwa madai na kuisue serikari?hata procedure za kimahakama zitabadika.au niko wrong?
 

Kaka hapo umechemsha, hakuna majibu ya maana utakayoyapata hapa, kwa ufupi hao wote ni Mapene Oriented hakuna cha Umma wala jamii.
Ngoja waje akina Ben Saanane na wenzake uone ujingaujinga na majibu yao.
Utaishia kuambiwa M4C no apologize, Tunafungua kanda na njiwa walarushwa,Kata nne za arusha, Makamanda na Red brigade. hayo ndio majibu. Take from me and watch out down here.
 

kaka mbona huyo ben keshanilukia muda mrefu sana?kumbe ndo tabia yake?
 

Kaka bora umwambie,huyu nilikuwa namsikia tu sijawahi kuona anavyokurupukia tu watu bila hoja.chadema must look propagandists wao kabla ya kuwapitisha.kuna siku alitema pumba kwenye mjadala wa kagame na tz akawa anamsifia kagame eti udikteta wake ndo chachu ya maendeleo rwanda.watu wakamponda kwa kusosa uzalendo akabadilika kama kinyonga kumponda kagame.ana ndimi mbili huyu mtu.
 
kaka mimi sio kada,hata hao akina ritz,nape nk hawanijui labda uniunganishe nao kama mnawasiliana.
Dada samahani sana kwa kukuita kada kama sio kada, kama ningekuwa na contact za hao makada nisingekupa kabisa. It is not my business to connect makada wa this CCM at all. Pia mimi sio CDM bali nakubaliana nao kwa mambo mengi ya msingi, lakini sifikirii kujiunga na Chama chochote zaidi ya That CCM. Sera zangu ni mgombea binafsi na Tanganyika. Kuhusu Kagame, msimamo wangu upo palepale ni mchapakazi anayeibadilisha Rwanda kwa kasi ya ajabu. I don't care kama watu walinisaga au walinisifia, it is what it is. Siipendi this CCM and siamini kabisaa viongozi wa serikali ya this CCM, therefore; I will not buy their story about Kagame.
 
Yes, you're very wrong because you are every where, its hard to find your arguments/points. Mama unaweza kuandika kwa Kiswahili tukakuelewa au English, lakini sio huu mkorogo
 
Kazi ya mawakili wa chadema ni kutetea wahalifu akina costa mahalu aliyetuibia ktk ubalozi wetu italia. Serikali ilipompeleka mahakamani akina marando,lissu na wenzake wameenda kumtetea. Walisha watu sumu, wamwagia watu tindikali nk hao ndio wateja wa wanasheria wa machadema
 
Hakuna ujanja hapo, hadi sheria zibadilishwe. Mfano ulio hai ni wa hivi juzi tu, ambapo DPP amemfutia mashitaka ya uhujumu uchumi Iddi Simba (yanayohusu UDA) akidai ni kutokana na kukosekana na ushahidi; ili hali ushahidi upo mzuri tu!
well quoted mkuu,sasa hatuna altenative?hali hii mpaka lini?
 
Hata polisi wanaisupport CDM

Jana nilimsikia Werema(AG) akiwaonya mawakili wapya wa serikali kuwa wakiuliza kwanini bei ya bia imepanda bei watakula nao sahani moja,duh alafu unataka huyu ndo awe mzalendo wa nchi hii kama wakili tu haruhusiwi kuuliza mfumuko wa bei,Not very far hawa wanasheria wa CDM utaona wanalisaidia Taifa!!!!
 
Wacha nipite tu kwa leo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbuka jina la mtu LAZIMA lianze na herufi kubwa hata kama una BIF naye!
Kesi zote zinazohusisha upotevu wa mali ya umma huendeshwa na OFISI YA DPP....
Huko ndo hutoa mawakili wa serikali kutoka ofisi ya AG...
Ofisi ya DPP ni ya serikali....
DPP na AG ni wateuliwa wa Rais....
Rais ni mwenyekiti wa CCM!
CCM ni chama tawala!
Hayo yote hayawezekani kwa sababu ya CCM.
BASI.
 
Bavicha kwa ndoto za ajabu! teh teh teh,huo ujinga kakueleza nani kuwa CCM itatoka madarakani?

siyo itatoka sema tutaitoa tunajua mna mizizi na mapembe marefu lakini tumejipanga kuyang'oa na kuyakata kabisa popote yatakapopatikana
 

Kwani kesi za cdm walizishughulikia bure?
 
Yes, you're very wrong because you are every where, its hard to find your arguments/points. Mama unaweza kuandika kwa Kiswahili tukakuelewa au English, lakini sio huu mkorogo

uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa kuliko unachoandika.soma vizuri.
 
Swali zuri kamanda.ni kweli ni mawakili nguli na pengine majibu sahihi yatatoka kwao
lkn mshika mawili moja huponyoka:nafikiri wamalize moja kwanza then wahamie mengine maana haki haitapotea bali huchelewa tu.
 
Lissu,Kibatara,Pro Safari,Kimomogoro,Msando....Kuna siri gani hapa?Duru zinaarifu hudiriki kutetea baadhi ya kesi bure.
 
Hivi na msando ni mwanaaheria nguli.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…