Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

A
AMA KWELI ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE
 
Kweli alimdhalilisha sana; siyo Jide tu hata wanawake wote ametuvua nguo hadharani.
Gadna sijui ana akili za wapi?
Mwanaume uliyepitia jando hutakiwi kusema mambo ya chumbani;
 
Kweli alimdhalilisha sana; siyo Jide tu hata wanawake wote ametuvua nguo hadharani.
Gadna sijui ana akili za wapi?
Mwanaume uliyepitia jando hutakiwi kusema mambo ya chumbani;

Huyo binti anavyomuimba gadna Mara sijui yahaya, Mara aongee pumba ooh magari yote Yale yalikua ya kwangu sijui nini mbona hamkulalamika kumzuia Jide asiendelee kumdhalilisha gadna. Nasema acha akojozwe asubuh, mchana, jioni. Kama kwenda jando ni kushindwa kujitetea unapo dhalilishwa hilo jando liendelee na wamasai tu. Aendelee kukojozwa huyo
 
Nadhani twatakiwa tuijue sheria na mazingira ambayo yaweza kukutia hatiani,trust me wakiamua kumfungulia shitaka litamgharimu kuliko unavyodhani na walioandaa lile tamasha wasipoliweka sawa mapema hawa mabwana wakaamua kulipeleka mbele,tutakuja zungumza habari zingine humu, maana hiyo kwao ni first move,wanasubiri wajibiwe kisheria.Tatizo hatutaki angalia huyo mtoto wa kike amezungumzwa badala ya nini kutokea,sheria sio mpo kijiweni kwamba mtaangalia nini kimesemwa siku husika,bali hufatilia hata matukio kadhaa yaliyopelekea jambo kutokea hata kama ni kwa miaka kadhaa nyuma,tuwe watulivu kutazama hii sinema itaishia wapi,ila amini wakiamua kutaka sifa, kaka yetu ataumia zaidi na atajiondolea sifa zote alizonazo na ni ngumu sana kushindana na Mwanamke hasa akiwa na nguvu katika jamii yake.
 
Bora wewe umesema ukweli,hili swala sio jepesi Kama captain anavyo fikiria,akileta u born town kwa hili Litamcost.
To be honest pale jamaa aliteleza tena Sana,anaweza akajitetea kwamba hakumtaja jina,hapo ndipo learned fellows wanapopapenda ,itafuatiliwa na kuangalia aliulizwa swali lips na lilikuwa linamhusu Mtoto yupi wa kike alie Kuwa akimkojolesha all those years.
 
Nani kakudanganya wanaume ni wepesi kiasi hicho?


kila mnyonge na mnyonge wake baba hata wew unaweza ukajiona uko juu kwa wote lakin tambua uko juu kwe mkeo ukienda kwa mwingine utajimurderrrr
 
Yaani kama umesomea sheria na ukabobea hakuna evidence yoyote hapo ya kumtuhumu mtu...Binti ni neno lenye maaana kubwa sana katika lugha ya Kiswahili mlalamikaji siyo binti hiyo mosi, Pili hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa ...Hizo ni hisia tu....Na kuishi kwa hisia ni kosa la jinai...... Tatu music ni music hauna mausiano na kauli mbiu yeyote......
 
Lady JD angeachana na hii kitu na angekaa kimya bila kumjibu.
Ni kweli kabisa,ingekuwa ni vema sanaa na heshima kubwa kwako kama angekaa kimya,jamii ilishasimama upande wake kwa kiasi kikubwa juu ya tukio hill la Mr. G.
 
Hahaaaaaa umetisha duuuu!!
 
The smell of fear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…