Huyu Gadner aliharibiwa na yule mama wa Tanrose ambako Gadner alikuwa anafanyakazi dukani kwake akiuza CD.
Huyu mama ndiye aliyemfundisha umarioo na hadi akamvunjia ndoa yake na mkewe ambaye ndugu yake na Hashim Lundenga.
Ndio akawa ashazoea kulelewa, hata Kusaga alipompeleka Clouds nako akaanza kulelewa na Faudhia.
Yuko Clouds hadi leo ana nywele za Kisomali hivi, nakumbuka wakati ule alimpa hadi gari ya kutembelea, Mark II box.
Kwa kupenda kulelewa, Gadner baada ya Jide kupiga hela tu ndo akajipeleka kwake na kuleta mgogoro kwa Jide na Faudhia.
Gadner akawa hasomeki mara kwa Faudhia mara kwa Jide, ndio ikaja ngoma ya Wanaume kama Mabinti na ile remix ya Siwema.
Lakini tabu kubwa ya huyu jamaa ni umarioo, na ndio maana baada ya kuachwa na Jide akawa na hali mbaya sana.
Alikuwa hajazoea kujilipia kodi ya nyumba na huduma zingine na hata mkopo wake wa NBC. Yaani Kusaga alifanya kumsaidia tu arudi Clouds.
Kusaga kampa nyumba, kampa gari ya kutembelea ili kumpunguzia makali na aendelee kulipa mkopo wake.
Ova