wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Anaweza kuwa wakili wakujitegemea hawezi tumia akili ila kama angekuwa anategemewa angetumia akili [emoji3][emoji3][emoji3]Alilizwa kuhusu kuwa na ugomvi na JD, ndio akajibu hana ugomvi naye kwani amemkojoza almost 15 yrs... Sasa unataka jina litajwe vp... Maana hata ukiwa shule Jina(Lowasa) unalitaja Mara ya kwanza then ukitaka kutaja tena unatumia HE...
unajifanya kajuaji kumbe Mbombo tu