Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Alilizwa kuhusu kuwa na ugomvi na JD, ndio akajibu hana ugomvi naye kwani amemkojoza almost 15 yrs... Sasa unataka jina litajwe vp... Maana hata ukiwa shule Jina(Lowasa) unalitaja Mara ya kwanza then ukitaka kutaja tena unatumia HE...

unajifanya kajuaji kumbe Mbombo tu
Anaweza kuwa wakili wakujitegemea hawezi tumia akili ila kama angekuwa anategemewa angetumia akili [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni kweli kabisa,ingekuwa ni vema sanaa na heshima kubwa kwako kama angekaa kimya,jamii ilishasimama upande wake kwa kiasi kikubwa juu ya tukio hill la Mr. G.
Anatafuta kick ya kurudi kwenye ukanda wa music bada ya kuwa amezima kwa muda,hakuna jingine zaidi ya kick hapa, yule mtoto wa kike anataka kurudi kivingine
 
Vita ni akili na uwezo ila haimaniishi kuwa na akili na uwezo unaweze shinda kila vita Ila busara inaweza saidia kushinda vita bila kwenda vitani, tufikie sehemu tuache unafiki Mtu hafi kwa ujinga Ila kuitwa mjinga unatamani kurusha ngumi, chuki husda tuache sisi sote ni wapitaji katika hii dunia ukianza kujenga chuki na jirani zako unamaanisha unajindaa kushindwa katika hii dunia binadamu sio mshindi ni mshindwa
 
dadavua kidogo,kuwa specific kidogo mkuu
 
Gadner anaye mtoto mkubwa tu na nadhan alimjaza mimba demu mwingine karibuni nilimuona na bint mjamzito viwanja,hiyo statement yako labda vice versa is true
Jamaa kapoteza 15 years of his life... he should have known better
 
Tumesikia jinsi ambavyo Mume wa zamani wa Jay D Gardner alivyomdhalilisha mke wake wa zamani kwamba amemkojolesha kwa miaka zaidi ya 10, Je, ni nini kingetokea nchi hii kama Jay D angesema kwa mfano labda Gardner ana kibamia na alikuwa hamridhishi?
Nina uhakika Jay D angehama hii nchi na sasa hivi server za JF zingekuwa zimejaa kwa mitusi dhidi ya Jay D!
 
Ingeonekana ana wivu wa kike may be baada ya Garder kutoka na wachuchu wa maana kuliko yeye.
 
Mkuu wakati mwingine kunyamaza ni busara sana, sio kila jambo linatakiwa kujibiwa.
 
Mwenye Hekima Huwa habishani.....nimempa credit sana Jay D kwa kunyamza kimya...
 
Ume maanisha nini mkuu? Kwamba wakudhibitisha kuwa ni tango sio bamia wapo?
 
Vip gadnar nae angesema Jay D ana bwawa? Hivyo alikua anampwerepweta
 
Tumesikia jinsi ambavyo Mume wa zamani wa Jay D Gardner alivyomdhalilisha mke wake wa zamani kwamba amemkojolesha kwa miaka zaidi ya 10, Je, ni nini kingetokea nchi hii kama Jay D angesema kwa mfano labda Gardner ana kibamia na alikuwa hamridhishi?
Nina uhakika Jay D angehama hii nchi na sasa hivi server za JF zingekuwa zimejaa kwa mitusi dhidi ya Jay D!
Kitendo cha JD kutaka aombwe radhi bila ya kupinga shutma za Gardner inamaanisha ni kweli alimwagishwa kojo kwa miaka 15. Kuliko kuyakuza na kumpa jamaa bichwa bora angepotezea tu
 
Mwenye Hekima Huwa habishani.....nimempa credit sana Jay D kwa kunyamza kimya...
hata mimi nakupa wewe credit kwa kulijua hilo. ila wanaomchokoza ndo wabaya wake. dhambi alitenda yeye, akajirudi na kulitupa zigo la dhambi puuuuuuuuuuuuuuu, wacha libwabwaje lenyewe ...
 
Tumesikia jinsi ambavyo Mume wa zamani wa Jay D Gardner alivyomdhalilisha mke wake wa zamani kwamba amemkojolesha kwa miaka zaidi ya 10, Je, ni nini kingetokea nchi hii kama Jay D angesema kwa mfano labda Gardner ana kibamia na alikuwa hamridhishi?
Nina uhakika Jay D angehama hii nchi na sasa hivi server za JF zingekuwa zimejaa kwa mitusi dhidi ya Jay D!

Sasa wewe umeshasema tayari!
Embu tuambie nini kimekutokea?
 
Back
Top Bottom