Daniel Myl
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 535
- 270
Obvious? Is there any such a vocabulary in Law? The guy is gonna walk out early in morning. She is wasting her resources....That was so obvious alikua anamsema nani [emoji57] [emoji57] [emoji57]
But atleast she is trying to fight for her image in a society....but lets wait and see nani atashinda [emoji489] [emoji489]Obvious? Is there any such a vocabulary in Law? The guy is gonna walk out early in morning. She is wasting her resources....
Kama utaanza kuangalia chanzo cha Gadner kutoa maneno hayo ndiyo utajua yupo matatani. bahati mbaya clip iliyorushwa inaonyesha tu Gadner akitoa maelezo. Chanzo chake ni swali aliloulizwa na shabiki JD. ndio maana alipomaliza dj akamsindikiza nanNdi ndi ndi ndi.Hiyo kesi ikifunguliwa jamaa anashinda mchana kweupe.Sidhani kama ni busara kwa mtu kufungua kesi huku ukitegemea kushinda kesi hiyo kwa kutumia circumstantial evidence.
Kushinda hiyo kesi bila additional evidence ni kazi ya ziada unless ana direct evidence kitu ambacho naona hapo ni kigumu.
Gadner anaye mtoto mkubwa tu na nadhan alimjaza mimba demu mwingine karibuni nilimuona na bint mjamzito viwanja,hiyo statement yako labda vice versa is truekukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
Kama utaanza kuangalia chanzo cha Gadner kutoa maneno hayo ndiyo utajua yupo matatani. bahati mbaya clip iliyorushwa inaonyesha tu Gadner akitoa maelezo. Chanzo chake ni swali aliloulizwa na shabiki JD. ndio maana alipomaliza dj akamsindikiza nanNdi ndi ndi ndi.
Pia nawashauri wanawake mkipata mimba muwe mnajifungia ndani kwani hakuna evidence kubwa kuonyesha ulifanya mapenzi kama kubeba mimba. Ukitembea barabarani kila mtu anajua ulito**a ndio ukaipata. Wale wamekaa pamoja miaka 15 walikuwa wanalala pamoja na kukojozana, sasa hapo udhalilishaji uko wapi?But atleast she is trying to fight for her image in a society....but lets wait and see nani atashinda [emoji489] [emoji489]
Wanapendana bado haoMambo mengine michosho na vichekesho tupu
Huyu dada anatokea KANDA MAARUMU....Huyu dada kila album yake inapokaribia lazima kunakua na court orders, summons and "play a victim" situation.... Nilimsapoti all her previous albums na drama zake but I think this is it
Ukisikiliza lyrics zake hasa za ndi ndi ndi, it is clear kabisa she is directing attack kwa nani, na tena anaita watu vichaa, then kwenye media anasema jamaa anakojoa hewa, then bado anataka apologies.... I think ana kalaana fulani ka vita vita
KajistukiaAssumption, kataja jina na la nani hapo?
Exactly...huyu mwanamke mbifu bifu tu na kila yule anaetofautiana nae....hawezi fika mbali...aftr all game ya muzik imekua tyt now viwango vinahusikaGadner kama unatusoma au kuna watu watasoma humu mna mawasiliano wakuambie uachana kabisa na huu upuuzi wa jidy, she wont stop until you are finished. Kama angekuwa mungu its obvious angekunyima breath! anachotaka hapo mshindane kutoa pesa kwa mawakili bila shaka akutoe kabisa kwenye reli yako! believe or not its a game with a full budget. inavyoonyesha alikuacha kwa media huko rohoni ana hali mbaya bado anakutaka, anajidai ana furaha ambayo hana. wanaojiita mashabiki wake wako very narrow minded, wanataka wewe tu uwe gunia la mchanga la mazoezi ya ngumi.
siku zote anaamini pesa ina value kuliko utu wa mtu, kwani kuzaliwa mwanaume ni dhambi kutokuwa na hela kama mwanamke! kwani kuna wanawake wangapi wanafadhili game na waume zao lakini utadhani mfadhili ni mwanaume anavyoheshimiwa! man will always be a man. kama kuna wa kumuomba msamaha gadner ni muumba wako sio hiki kibibi kinachotaka ukipigie magoti after everything ili kikutungie nyimbo tena ukiwa umepiga magoti, hahaha. akuache ufanye yako bana, kina roho mbaya kama sura yake, alaaa. kama vipi toa namba au account tupitishe donei uweke mawakili wakukutetea huko mahakamani. mbele kwa mbele