Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Gadner kama unatusoma au kuna watu watasoma humu mna mawasiliano wakuambie uachana kabisa na huu upuuzi wa jidy, she wont stop until you are finished. Kama angekuwa mungu its obvious angekunyima breath! anachotaka hapo mshindane kutoa pesa kwa mawakili bila shaka akutoe kabisa kwenye reli yako! believe or not its a game with a full budget. inavyoonyesha alikuacha kwa media huko rohoni ana hali mbaya bado anakutaka, anajidai ana furaha ambayo hana. wanaojiita mashabiki wake wako very narrow minded, wanataka wewe tu uwe gunia la mchanga la mazoezi ya ngumi.
siku zote anaamini pesa ina value kuliko utu wa mtu, kwani kuzaliwa mwanaume ni dhambi kutokuwa na hela kama mwanamke! kwani kuna wanawake wangapi wanafadhili game na waume zao lakini utadhani mfadhili ni mwanaume anavyoheshimiwa! man will always be a man. kama kuna wa kumuomba msamaha gadner ni muumba wako sio hiki kibibi kinachotaka ukipigie magoti after everything ili kikutungie nyimbo tena ukiwa umepiga magoti, hahaha. akuache ufanye yako bana, kina roho mbaya kama sura yake, alaaa. kama vipi toa namba au account tupitishe donei uweke mawakili wakukutetea huko mahakamani. mbele kwa mbele
 
Obvious? Is there any such a vocabulary in Law? The guy is gonna walk out early in morning. She is wasting her resources....
But atleast she is trying to fight for her image in a society....but lets wait and see nani atashinda [emoji489] [emoji489]
 
Naona kwa namna fulani suala hili suala limewafanya watu wamechukua "sides". Kuna watetezi wa Jide na wengine wa Gadnar. Hata hivyo, nafikiri sio busara sana kuegemea upande wowote. Maoni yangu mimi ni kwamba whether Gadnar alimlenga Jide or not (?!of course kimsingi alimlenga Jide na ni haki yake kukana kosa kwa lengo la kuepuka kuingia hatiani ?!) jamaa ameonyesha immaturity iliyotukuka. Ni matarajio yangu kuwa atakuwa amejifunza.
 
Hiyo kesi ikifunguliwa jamaa anashinda mchana kweupe.Sidhani kama ni busara kwa mtu kufungua kesi huku ukitegemea kushinda kesi hiyo kwa kutumia circumstantial evidence.

Kushinda hiyo kesi bila additional evidence ni kazi ya ziada unless ana direct evidence kitu ambacho naona hapo ni kigumu.
Kama utaanza kuangalia chanzo cha Gadner kutoa maneno hayo ndiyo utajua yupo matatani. bahati mbaya clip iliyorushwa inaonyesha tu Gadner akitoa maelezo. Chanzo chake ni swali aliloulizwa na shabiki JD. ndio maana alipomaliza dj akamsindikiza nanNdi ndi ndi ndi.
 
Huyu dada kila album yake inapokaribia lazima kunakua na court orders, summons and "play a victim" situation.... Nilimsapoti all her previous albums na drama zake but I think this is it

Ukisikiliza lyrics zake hasa za ndi ndi ndi, it is clear kabisa she is directing attack kwa nani, na tena anaita watu vichaa, then kwenye media anasema jamaa anakojoa hewa, then bado anataka apologies.... I think ana kalaana fulani ka vita vita
 
kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
Gadner anaye mtoto mkubwa tu na nadhan alimjaza mimba demu mwingine karibuni nilimuona na bint mjamzito viwanja,hiyo statement yako labda vice versa is true
Kama utaanza kuangalia chanzo cha Gadner kutoa maneno hayo ndiyo utajua yupo matatani. bahati mbaya clip iliyorushwa inaonyesha tu Gadner akitoa maelezo. Chanzo chake ni swali aliloulizwa na shabiki JD. ndio maana alipomaliza dj akamsindikiza nanNdi ndi ndi ndi.
 
But atleast she is trying to fight for her image in a society....but lets wait and see nani atashinda [emoji489] [emoji489]
Pia nawashauri wanawake mkipata mimba muwe mnajifungia ndani kwani hakuna evidence kubwa kuonyesha ulifanya mapenzi kama kubeba mimba. Ukitembea barabarani kila mtu anajua ulito**a ndio ukaipata. Wale wamekaa pamoja miaka 15 walikuwa wanalala pamoja na kukojozana, sasa hapo udhalilishaji uko wapi?

Kama ningekuwa Gadner ningeenda kutafuta mtoto wa pili kitaani dunia ijue kuwa sperms zangu zimepotea bure kwa miaka yote hiyo. Kuoana na kuachana ni maisha tu acheni kubeba bango hasa nyie mnaojiona ndio mliwaacha wenzenu. Kakojozwa hajakojozwaaaaa?
 
Huyu dada kila album yake inapokaribia lazima kunakua na court orders, summons and "play a victim" situation.... Nilimsapoti all her previous albums na drama zake but I think this is it

Ukisikiliza lyrics zake hasa za ndi ndi ndi, it is clear kabisa she is directing attack kwa nani, na tena anaita watu vichaa, then kwenye media anasema jamaa anakojoa hewa, then bado anataka apologies.... I think ana kalaana fulani ka vita vita
Huyu dada anatokea KANDA MAARUMU....

Kule vita ni vita (fita ni fita) muraa. Hawezi kukaa pembeni na kutafuta mwanaume mwingine kuendelea na maisha anataka kumkomoa aliyemuacha. Mwenzie Gadner karudisha kazi yake ya zamani, anaongoza jahazi kama kawaida Captain na weledi wa hali ya juu kwenye kipindi
 
Gadner kama unatusoma au kuna watu watasoma humu mna mawasiliano wakuambie uachana kabisa na huu upuuzi wa jidy, she wont stop until you are finished. Kama angekuwa mungu its obvious angekunyima breath! anachotaka hapo mshindane kutoa pesa kwa mawakili bila shaka akutoe kabisa kwenye reli yako! believe or not its a game with a full budget. inavyoonyesha alikuacha kwa media huko rohoni ana hali mbaya bado anakutaka, anajidai ana furaha ambayo hana. wanaojiita mashabiki wake wako very narrow minded, wanataka wewe tu uwe gunia la mchanga la mazoezi ya ngumi.
siku zote anaamini pesa ina value kuliko utu wa mtu, kwani kuzaliwa mwanaume ni dhambi kutokuwa na hela kama mwanamke! kwani kuna wanawake wangapi wanafadhili game na waume zao lakini utadhani mfadhili ni mwanaume anavyoheshimiwa! man will always be a man. kama kuna wa kumuomba msamaha gadner ni muumba wako sio hiki kibibi kinachotaka ukipigie magoti after everything ili kikutungie nyimbo tena ukiwa umepiga magoti, hahaha. akuache ufanye yako bana, kina roho mbaya kama sura yake, alaaa. kama vipi toa namba au account tupitishe donei uweke mawakili wakukutetea huko mahakamani. mbele kwa mbele
Exactly...huyu mwanamke mbifu bifu tu na kila yule anaetofautiana nae....hawezi fika mbali...aftr all game ya muzik imekua tyt now viwango vinahusika
 
Back
Top Bottom