Kama unadhani kila kitu kinawezekana kirahisi hivyo kampe wewekukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
Soma barua ya wakili, anatakiwa aombe radhi kwa kutamka maneno yapi?Tatizo lipo katika mantiki ya kumuunganisha Jide na neno kukojozwa, kama iwapo ukabahatika kuisikiliza ile clip hiyo kauli ya kukojozwa Jide hajatajwa. Ila Jide amepata hisia tu kwamba yeye ndiye mlengwa wa ile kauli ya kukojozwa. Je kama iwapo Gadna akathibitisha kwamba alimaanisha mengine, Jide ataficha wapi usowe?
Kesi ya Jide na Mpenzi wake halafu mimi nitafute wakili?Soma barua ya wakili, anatakiwa aombe radhi kwa kutamka maneno yapi?
Hayo ya mwanzo ambayo cc hatuyajua nenda kamtafutie wakili mwingine.
yeye alikuwa hakojoi ndiyo maana hakusema alikojoa miaka 15 aliishia kukojolesha tu sasa kifaa kilichotumika kukojolesha mimi na wewe hatuwezi kukijua labada Gardner atoe ufafanuzi kwenye hili.kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
So obvious ya mahakamani ni tofauti sana. Ku prove beyond any reasonable doubt kwamba alimlenga Jide si rahisi.That was so obvious alikua anamsema nani [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Sijatake side...maana lazima hata mahakamani ushahidi wa kuhusishwa Jide lazima utahitajika!Ruta usha take side...!
Endelea
Mbona gadna hajawah lalamika juu ya nyimbo za jd
Alilizwa kuhusu kuwa na ugomvi na JD, ndio akajibu hana ugomvi naye kwani amemkojoza almost 15 yrs... Sasa unataka jina litajwe vp... Maana hata ukiwa shule Jina(Lowasa) unalitaja Mara ya kwanza then ukitaka kutaja tena unatumia HE...Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
si mpaka ushahidi uwepoBasi afunguliwe mashitaka kwa kubaka mtoto wa kike mpaka kufikia kumkojoza .....
Lakini JD si wapo wengi ? mfano, JD =Jermain DupriAlilizwa kuhusu kuwa na ugomvi na JD, ndio akajibu hana ugomvi naye kwani amemkojoza almost 15 yrs... Sasa unataka jina litajwe vp... Maana hata ukiwa shule Jina(Lowasa) unalitaja Mara ya kwanza then ukitaka kutaja tena unatumia HE...
unajifanya kajuaji kumbe Mbombo tu
Hivyo ni vitu viwili tofauti. Kukojoa na kushika mimba.kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
Acha ujinga ww pole ya nin! Uliona poa?Naam Mama anataka aombwe radhi. Pole sana Gadna ndivyo dunia ilivyo.
Dahh, mie mjinga. Shukrani na heri ikupate kwa tusilo.Acha ujinga ww pole ya nin! Uliona poa?
kumbe barua inatakiwa iandikwe kwenye karatasi ya mistar?Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.